ONLY FOR FRIENDSHIP

steven nyaganya

Senior Member
Joined
Dec 23, 2017
Posts
116
Reaction score
74
nahitaji rafiki wa ku-socialize awe wa kike, umri chini ya miaka 22 na asipungue 18 awe anaishi dar, sifa ya ziada awe mzuri sitaki rafiki ntakaeogopa kumtambulisha kwa marafiki wengine kuwa huyu ni rafik yng. kumbuka kichwa cha habar hapoa juu.
 
Ila joh makini kaimba [HASHTAG]#hakunamipaka[/HASHTAG] sasa naona ndugu yangu unaweka mipaka.
Basi kama vp na mipanya iwepo (joking)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…