ONLY FOR LEGENDS: Hili goma lina kukumbusha wapi na tukio gani ?

Mto Songwe

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2023
Posts
6,683
Reaction score
14,060
Hapa ni maduu, mabitozi na machizi wa kipindi hiyo.

Hili goma la mtu mzima joslin lina kukumbusha wapi na tukio gani ?
Your browser is not able to play this audio.

Hili goma lina historia nami nzito sana kila nikikumbuka huwa nabaki kucheka😀 tu kifala yule nyang'au alinijulia haswa😃😃
 
Weka hiyo historia yako mkuu.

Hii ngoma imetimia sana kwa kila kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…