Dah!Kuna jamaa/maras miaka ya kati '80 walikuwa waklipiga dude/kula ganja/kubugia jani/kuvuta weed walikuwa wakiingia disco mkoa fulani wanajidai kuimba kwa hisia ngoma za Bob hadi wanakaa chini na kulia.Ganja ni hatari!
Pass it here! A good one you should eat with your brethren [emoji39][emoji39][emoji39][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]