1. Kuunga Foleni kwenye Vibanda Mihogo na watoto wa shulen.
2. Kupitia Kwnye Vibanda vya Chips Usiku Kupata Chips Mayai Kabla ya kufika Nyumbani .
3.Kubishana Matokeo Ya Mpira na Watoto chini ya Miaka Kumi na nane .
4.Kuiziria Familia Eti Kisa Timu anayoishabikia Imefungwa.
5.Kutongoza Mabinti wadogo, na kutetea Ndoa za mabinti wadogo.
6.Kuagikwa Ugoni.
Mnaweza Endelea , kwa Hizo.ndizo Tabia Za hawa wazee waJiji Nikizozinasa kwa haraka.