Kawaida mkuu usijali tupo pamojaheshima kwako comrade.
kama ni kwenye mpira ungeitwa kiungo mjanjamjanja aka Ngolo Kante.[emoji106][emoji4][emoji4][emoji122]
Namba tatu inakuhusu mkuuPole mkuu..ndiyo ya walimwengu wa mtandaoni hayo
namba 3 ya nini mkuuNamba tatu inakuhusu mkuu
namba 3 ya nini mkuu
Hahaha kumbe ndio hivyo..daahunajitaidi kucomment kila post mwishowe watu wanakuja na post hivi wewe ni nani
Mkuu, mbona una likes nyingi ukilinganisha na michango yako?Unalike 99 kupata iyo moja tu ufikishe 100 unaweza subiri miezi 3.
Hahaha kumbe ndio hivyo..daah
Hapana mkuu sio celebrity..ni member tu wa kawaidaKiongozi umekuwa celebrity wa JF siku za hivi karibuni.
Kiongozi kama ulikua kwa Oblangata yangu.JF unakuta mtu wa watu kajitutumua kuandika maada weee, mwishowe anaambiwa tutolee uandiashi wako wa kifacebook hapa. bado natafta uandishi wa kifacebook upoje