Only In Kenya....2019 GDP growth of 10%...Investors now trust Kenya 100%

That's so true, ingawa The last time I checked the top 200 companies In Africa with highest turnover in 2017,
Most of them were European,
Hapa bado watu wanauliza kwani Ulaya wanapataga wapi hela, Kenya have been enjoying these beautiful investments since independence but today 2018 cant finance a 10km road, halafu hiyo 10% GDP growth sidhani kama kuna nchi Africa imeweka hiyo rekodi hivi karibuni,
Sijui Kenya mmeitoa wapi.
 
Kwani i habari ya magari mtafungulia threads ngapi??? Mnabore sasa
 
Mungu usaidia wale wanajisaidia ni wazi kuwa Kenya tunaelekea kustawi. ila tunapaswa tutie jitihada kabisa bila kulala.... heavy manufacturing ndio nataka kuskia viwanda vya kutengeneza engine za generator, pumps, engines za pikipiki na kadhalika and components for electricals especially house holds...
 
I will celebrate when we have a market to sustain that
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…