Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Depay, wentu wamezoea wale majaji wao ambao ni wanachama wa fisiemu. Kwao haya ni maajabu hata walimu wa shule Tz huwa hawadhubutu kugoma. [emoji23] Hapan cheza na Jiwe!
Kwa maoni yangu ni lazima pia hao wanaogoma waangalie hali halisi ya nchi na wafikirie na wengine pia, sasa Majaji tayari wanalipwa vizuri above average lkn kuna wengi ambao hata Mshahara hautoshi kwa nini hao Majaji wasifikirie hilo?
TZ kama kila mtu akigoma kwa sababu ya Mshahara mdogo hakuna kitu tutafanya hivyo ni lazima kila mtu avumulie tujenge uchumi kwanza ili tupate fedha za kulipa kila mtu vizuri na siyo wachache tu!
eti hii ndo nchi yenye katiba mpya ya kihistoriaView attachment 824010
sure. na tz je?Hapo ndipo ninapowaheshimu wakenya akili kubwa
Ngoja waje uvccmsure. na tz je?
Mtoa mada, naamini hujaelewa ama ku "reflect" ulicho kiposteti hii ndo nchi yenye katiba mpya ya kihistoriaView attachment 824010
Can someone tell whoever that posted the above sh***t to hide his naive face in shame. Hapa Kenya huwezi mburuza mwenzako utakavyo. Kila mtu yuajua haki yake. Hadi Turkana na Maasai hawajambo. Uliza Tullow oil Co huko lokichar wakusadikishe. Wengine wenyu hapa ndani Itabidi mhubiriwe biblia kwa kulia na mapanga kwa kushoto ndio mjue kupigania haki.eti hii ndo nchi yenye katiba mpya ya kihistoriaView attachment 824010
Wololo yaye!!eti hii ndo nchi yenye katiba mpya ya kihistoriaView attachment 824010
Hii yenyewe ni democracy. In Tanzania, nobody can fight for their rights. Udiktetaeti hii ndo nchi yenye katiba mpya ya kihistoriaView attachment 824010
Dictatorship regime 100%..sure. na tz je?
Mawazo yako hayahesabiki, wewe ni dhaifuHapo ndipo ninapowaheshimu wakenya akili kubwa
Sawa kinyagoMawazo yako hayahesabiki, wewe ni dhaifu