Only in Kenya

rais wako

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2015
Posts
605
Reaction score
513
eti hii ndo nchi yenye katiba mpya ya kihistoria
 
Depay, wenzetu wamezoea wale majaji wao wanachama wa fisiemu. Kwao haya ni maajabu hata walimu wa shule Tz huwa hawadhubutu kugoma. [emoji23] Hapan cheza na Jiwe!
 
Last edited:
Depay, wentu wamezoea wale majaji wao ambao ni wanachama wa fisiemu. Kwao haya ni maajabu hata walimu wa shule Tz huwa hawadhubutu kugoma. [emoji23] Hapan cheza na Jiwe!

Kwa maoni yangu ni lazima pia hao wanaogoma waangalie hali halisi ya nchi na wafikirie na wengine pia, sasa Majaji tayari wanalipwa vizuri above average lkn kuna wengi ambao hata Mshahara hautoshi kwa nini hao Majaji wasifikirie hilo?
TZ kama kila mtu akigoma kwa sababu ya Mshahara mdogo hakuna kitu tutafanya hivyo ni lazima kila mtu avumulie tujenge uchumi kwanza ili tupate fedha za kulipa kila mtu vizuri na siyo wachache tu!
 

if you are very keen with this item, You would notice that the go slow is NOT about salaries.
 
Duuuh ingekuwa Tanzania hawa Hon. Judges wangepigwa mpaka shangazi zao. Wanaleta uchochezi.
 
eti hii ndo nchi yenye katiba mpya ya kihistoriaView attachment 824010
Can someone tell whoever that posted the above sh***t to hide his naive face in shame. Hapa Kenya huwezi mburuza mwenzako utakavyo. Kila mtu yuajua haki yake. Hadi Turkana na Maasai hawajambo. Uliza Tullow oil Co huko lokichar wakusadikishe. Wengine wenyu hapa ndani Itabidi mhubiriwe biblia kwa kulia na mapanga kwa kushoto ndio mjue kupigania haki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…