Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,644
Point yako ni nini Mkuu?Huyu mama anakimbia kuliko difenda ya polisi inayoenda kwenye kikao cha chadema kisichokuwa na kibali. Km 300,000 kwa sekunde[emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28]
wahenga wanamjua vizuri
View attachment 2374327
π€£Huyu mama anakimbia kuliko difenda ya polisi inayoenda kwenye kikao cha CHADEMA kisichokuwa na kibali