Onsat on3 fta receiver zinauzwa

Dola Iddy Wa Chelsea

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2014
Posts
2,125
Reaction score
1,526
Onsat on 3 ni moja Kati ya ving'amuzi visivyo vya kulipia kwa mwezi yaani Frre To Air Receiver ambayo itakuwezesha kutazama chaneli nyingi bila malipo yoyote kwa mwenzio unachotakiwa kujua Ni kuwa mfumo huu wa kukutafutia chaneli kutoka katika sattelite mbalimbali unahitaji uwe na madishi kuanzia futi 3 ,6 na 8 kutokana na chaneli unazozihitaji

SATELITE ZA MUHIMU KWA MFUMO HUU WA FREE TO AIR

[emoji254]LOCAL CHANELS

1 INTELSAT DEGREE 72.1 E
ITV,EATV, NA CAPITAL
(FUTI 6)

2.AZERSPACE 1 DEGREE 46.0 E
STAR TV, CLOUDS TV, CHANNEL TEN, WASAFI TV NA MWANGAZA TV.
(FUTI 6)

[emoji254]MUVI ,WANYAMA, WATOTO NA MIELEKA

[emoji254]3.EUTELSAT 8 WEST
MBC 1,2,3,4 , ACTION, BOLLYWOOD , DRAMA NA NYINGINE NYINGI.
(FUTI 8)

[emoji254]4. ASTRA 2F DEGREE 28 EAST
AMEN TV, LION TV ,NA CHANELI NYINGI ZAIDI YA 100.
(FUTI 3).

SIFA ZA ONSAT ON3

[emoji259]FILL HD 1080
[emoji259] ADAPTER 12 V
[emoji259] POWER VU AUTOROLL, BISS ,TRANDBERG
[emoji259]COMBO T2 AND S2
(INATUMIA DISH NA ANTENNA)


BEI YAKE Ni 130,000/=

NIPO USHIROMBO MKOANI GEITA

SMS TU 0752467499

POPOTE NDANI YA TANZANIA UTATUMIWA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njoo mtaalam unahitajika Waka frequency za It, Capital,Eatv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…