Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

Ogopa sana mtu mwenye maneno mengi yanayovutia.
Aiseh ulichoandika ndicho nilikuwa nakiwaza toka nianze kusoma maandishi ya huyo dogo,anaremba sana maandishi yaani unaona kabisa he is up to something.

Anakutajia vitongoji vya Joz,hoteli,mentors wake wakiwa kwenye magari ya kifahari nk mpaka unajiuliza why all this kama ishu ni mm kutajirika hauna haja ya kunishawishi hvyo.
 
Jp markets kawaachia huo mzigo clients wao hahahahahaa.....!

Sasa sijui wataanzia wapi na wenye ushahidi na uwezo wa kumshtaki ni Jp na cre sasa hao clients wataanzia wapi na ushahidi watatoa wapi?
Hapo wa kushtakiwa ni Ontario na hao JP Market...Haiwezekani leo JP Market wakane eti pesa zetu zilikuwa haziwafikii wakati account zetu zinaonyesha salio limewafikia...
 
Thats very correct
 
Ni kinachonitisha ni hapo jp market kusema pesa zilikuwa haziwafikii...yaani hapo wameshawakana clients wao...mzigo wote wamewatupia TMT...na Cre kashakimbia bongo...Kilichobaki ni kumtafuta Ontario popote alipo hapa Tanzania na kumshughulikia mpaka atoe pesa zetu huyu tutamchoma moto
 

We jamaa unavyoisifiaga CCM huwa ninadhani ni mtu fulani mkubwa...

Kumbe ni mzee wa Forex.
 
Nilistop kwa muda kutrade baada ya huyu tapeli cre kunipa hasara na migogoro ilipoanza hapo TMT lbado nina salio JP Market mkuu....sasa leo hawa jp market wanatukana hakyanani Ontario tutamchoma moto
Pole sana mkuu , unganisheni nguvu ili muweze kupatiwa haki zenu
 
Hii forex naona humu hizi siku kadhaa natajwa sana na PM kibao me sijapata tatizo kujifunza mambo mapya kila siku kumenifanya niwe na extra akili haaaaaaaaaa

Nitakwambia kwa nini unatajwa.

Toka zilipokuwa zinaletwa thread za malalamiko ya jinsi ambavyo watu wanakuwa mistreated na TMT, wewe umekuwa upande wa TMT, tena kwa kutumia lugha za dharau kama "mbwa", "mpumbavu" etc, kwa kitu ambacho watu wameomba ufafanuzi.

Unakumbuka wewe na mimi jana, baada ya Habibu B. Anga alias The Bold kuja na kauli za dharau, nikashauri kwamba ingekuwa busara kwake kuwapa ufafanuzi wahanga (waupokee au wasiupokee, ila yeye awe amefafanua), yeye kaja na kauli za kejeli; unakumbuka ulivyonijibu kwa kunitukana, tena zaidi ya mara moja.

Sijawahi kutukana member yeyote humu, wala kutumia kauli za kejeli kwa member yeyote kwa kuamini we are all equal (though some might be more equal than others, but respect should cut across).

Ninakushauri tu ujaribu kubadilika, tumia lugha rahisi kumwelewesha mtu mnapotofautiana mtizamo.

Nothing Personal.

Take it or leave it.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…