pengine ni mgawo wake halali bwana.
Cc:Kama ni mgao halali kwanini wameandika hapo"IF HE DOESN'T RETURN THE MONEY WE"LL HAVE NO CHOICE BUT TO OPEN CRIMINAL CHARGES"
Ni kweli. Hata karani wa halmashauri ya wilaya anapotowa fedha kwenye account ya halamashauri ni zake kwani ameweza kuzitoakama ameweza toa hela basi zitakuwa zake.
Hii coment imenichekesha eti huko mna utaratibu gani ? Yaani kama wanakaa jamhuri ya watu wa Mars vile kumbe ni hapahapa bongo hahaaaa....MTU anawezaje kutoa hela bank kama sio zake?
Au huko MNA utaratibu gani
Karani hawezi toa hela za alimashauri peke yake bila kuhusisha wsnaohusika. Umeona wapi mtu mmoja anaweza kutoa hela za serikali?Ni kweli. Hata karani wa halmashauri ya wilaya anapotowa fedha kwenye account ya halamashauri ni zake kwani ameweza kuzitoa
The money belong to jpmarket and Tanzanian clients.kama ameweza toa hela basi zitakuwa zake.
Una ushahidi mkuu tusubiri taarifa kutoka kwake na mamlaka husika huenda hizi ni mbinu tu za kuendelea kuchafuana si unajua hiyo ni biasharaDuuh huy jamaa huyu,,,, tapelii kwelii yaanii!! ,
Mmoja kabaki kwenye system ili kupaka girisi na kuwa peti peti wateja wao wasistuke mapemaHao jamaa lao ni moja tu,kwa nje wanajifanya wamegombana ila wakiwa ndani wako pamoja hao.