Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

CCNP Engineer Naona umehamia kwenye kubett tena yaani we boya hukomi tu kutandikwa kizembe!? Unadanganywa kama wale watoto waliokuwa wakimuona Le mutuz amevaa shati lake lile kubwa la njano wanamkibilia wanadhani School Bus imefika kumbe njemba Le mutuz inakatiza. Ahahaha! Usione kila hela ukadhani zinachukuliwa kiwepesi sometimes ni akina Le mutuz wanakatiza we boya na mashati yao ya njano makubwa! Ahahaha

Mattet of fact, kuna time huwa napitia kusoma comments zako hadi nalazimika kuhoji juu ya uzima wa akili yako? Wewe injinia majalala huko timamu kweli?

Haya vipi umeshaacha kubett kama watoto wa La NNE B? Yaani eti injinia mzima anabett...we fala usiniquotes tena maandishi yangu maana unastahili kuargue na watoto wenzio wa Mwaneromango!

Blalifuli porokodiomadonna!
 

Attachments

  • IMG_20180516_140657_180.JPG
    60.1 KB · Views: 32
Bwaaaaahaaaaa haaaaa ajaaaajjjjaaaa
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Naona mkuu ww unacheza na engineer matope[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Uyu fala kuna kipnd nataka niijue forex katka pande mbil lakn alikua ananikata stmu sana, nikashiriksha serikal yangu ya kichwa(ubongo wa mbele kat na nyum)
Nikagundua anamambo ya kimama
 
Nilijua tuu... Nikiwapa challenge hii lazima mle chocho.
Tena mmekula chocho wotee. Hakuna hata mmoja alionesha dalili ya kutunisha msuli.
Kelele nyingi mkiambiwa twende kwa evidence mnaanza kujinyea.
Kila mtu anakuchora anakuona boya tu usiejielewa unajikosha hapa...una hela gani wakati ulitaka ukope mil 5 ili ukimbie kibarua? Kutwa kucha unabett na vitoto vya primary.... Sampuli za akina Le mutuz hizi...very illogical and imbecilic.

Now unabett...ahahaha!! Yaani mtu anaebett Ndio anataka kutunisha misuli ya account? Labda account za Twitter au account za Facebook? Ahahaha

Sikuchukii, nakudharau!
 

Attachments

  • IMG_20180516_140644_338.JPG
    30.8 KB · Views: 26
Eti ndo Padri mcharo?
 
Heeeheeee...we jamaa bana
 
as long your mama hakudemand condom ukapatikana shes also what you say mine is!..
Kushirikisha wazazi mijadala ya ajabu kama hii ni kuonyesh ulivyo mtoto kichwani.

was planned haikuwa kombolela kama ulivyotungwa, Kama hauna kazi ya kufanya sema uokoe mda na kuliko kuukalia uzi MMU wenzako
 
Humble unaniuaaaaaaa mimiiii
 
Ahahahahahahahah humble msamehee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…