Jus wait....Sasa mbona hutaji jamani unatucheleweshaaa wit
nyie mawakala wa templer mnaboa sana...Yaani kwa kuwa unaweza kuwithdrawal na kudeposit kwa M pesa ndio mmeona kigezo cha kutaka kututapeli...sasa $1 utatrade vip kama sio uhuni tu kutaka kuibia watu mkuu mwambieni broker wenu ashushe spread aache uhuniLeta uthibitisho wa hayo unayoyasema maana usifikirie wewe peke yako Ndio unamjua Templerfx zaidi, nina wasiwasi sana wewe ukawa muhanga wa TMT na Jp Market maana siyo kwa povu hilo, tehtehteh
Leta uthibitisho wa hayo unayoyasema maana usifikirie wewe peke yako Ndio unamjua Templerfx zaidi, nina wasiwasi sana wewe ukawa muhanga wa TMT na Jp Market maana siyo kwa povu hilo, tehtehteh
Unajua kama mtu ana share kwenye kampuni kuna taratibu za kisheria inabidi zifuatwe ili uweze kuziuza share zako sio unaamka tu asubuhi unafanya tu utakacho unless iwe ni kampuni jina tu lakini ambayo haina muundo wa kampuni inayotambuliwa kisheriaMm nipo kwenye group ukweli ni kwamba client hatukuibiwa ila kuna mgogoro kati yao. Kwa hiyo katika account za TMT Sirjeff kachukua hela yake kasepa kwa sababu katika kampuni alikuwa na share. So kuchukua share zake si kosa na kutokana na ugomvi inawezekana share zake zilizuiwa
Sorry ,huyu broker anaitwaje,nimevutiwa na margin +spread kwa goldView attachment 780265
Hiyo column ya mwisho ndio spread. Now,
Angalia brokers wasiopandisha spread usiku kama huyu. Spread kubwa hapo ni 3.6pips ambayo ni GBPNZD. Am sure hii pair hujawahi kutrade sababu kwa huyo templer wako spread za GN am sure ni zinacheza karibu na 10pips
Come uangalie metals hizo hapo chini spread zake zinavovutia. Spread ndogo kama XAUUSD ni 1.1pips. Advantages za kutrade metals na huyu broker ni
1. Metals hazina commision
2. Margin requirement ya metals ni ndogo kama ilivo kwa pair zingine. Kwa 0.01 lot size margin is around $2 kitu ambacho hutakikuta kwa brokers walio wengi akiwemo na huyo templerfx
Naomba nitoe msaada kwa huyu uliyemuuliza. Currently natrade na brokers watatu na wote ni ECN brokers(Pepperstone, Hotforex and Tickmill), siyo kama market marker wako huyo Templerfx ambaye amejificha kwenye kichaka cha STP.
Ni wazi kwamba brokers wote huwa wanapandisha spread during the first hour of opening of Asian session market. Nje ya hilo saa moja ambalo market inaopen, masaa yaliyobaki yoote spread zinakuwa normal kitu ambacho huwezi kukikuta kwa templer sababu yeye anapandisha spread ikishafika usiku(the end of newyork session and the whole asian session).
Nimeshatrade live accounts na more than 6 brokers. Mfano nmetrade na FXPRO ambaye ni STP, pia nimetrade na XM ambaye market marker na nimetrade na ECN ambao nimekutajia hapo juu, so nimeshatrade na kila aina ya broker.
unaonena huna experience yoyote na forex brokers, ndo maana umeuliza swali kama hilo lako. Usikariri kwamba kila broker anapandisha spread usiku. Ni broker tu ndio ana hizo tabia.
Halafu kigezo chako cha kwamba unatoa hela haraka kwa mpesa hakina mashiko sababu fastest way ya kutoa hela kutoka kwa broker ni kwa njia ya Prepaid mastercard ya broker kama broker ana offer hizo card kwa clients wake. mfano currently broker anayeoffer card kama hizo kwa clients wake ni Hotforex, Roboforex na LAndfx pia wapo na wengine wengi. Naiita hiyo ni njia ya haraka kwa sababu unawithdraw muda wowote utakaojisikia ww. Kama hotforex hiyo CArd ipo linked moja kwa moja na trading account yako.
Mwisho nikitaka kujua broker ni mzuri au ni mbaya basi nitapita forexpiecearmy.com niangalie rating zake. Siwezi kumjudge broker kwa ratings za watu 8 tu hata kama wote wamempa 5 star, na ndivyo alivyo broker wako ambaye ana rating ya 3.222 kwa review 8 while tickmill ana 3.45 kwa review ya watu 123, pepperstone ana 3.435 kwa review ya watu 210 na Hotforex ana 3.879 kwa review ya watu 439. Now unauona utofauti hapo?
Sielewi kwanini mnaendelea kumpraise broker wenu huyo. Niishie hapo
Weka spread za Templerfx hapo for fair comparisons, wacha ku guess! Pamoja na yote hayo nani aliyekuambia kila pair kwenye MT4 lazima u trade?
Sorry ,huyu broker anaitwaje,nimevutiwa na margin +spread kwa gold
Siyo kweli, hamna limitation, nina Trade pair karibia zote ambazo ni commonly knownHahahah..... Me natrade pairs zenye volatility kubwa tu kama GBPNZD, GBPAUD, EURNZD, EURAUD, XAUEUR na GBPJPY..... katika hizo pairs ambazo mimi natrade wewe hapo kdg labda unaweza ukatrade na GBPJPY.... hizo zilizobaki hata kama una setup nzuri vipi unaweza ukaishia kula kwa macho. am not talking of trading kila pair ila kwanini niwe limited? eti kwa sababu ya mpesa? heheheh
Hamna wakala wa Templer ila tunafurahia huduma zake nzuri, kianzio cha $1 ni kwamba hata mtu mwenye mtaji mdogo bado anaweza ku Tradenyie mawakala wa templer mnaboa sana...Yaani kwa kuwa unaweza kuwithdrawal na kudeposit kwa M pesa ndio mmeona kigezo cha kutaka kututapeli...sasa $1 utatrade vip kama sio uhuni tu kutaka kuibia watu mkuu mwambieni broker wenu ashushe spread aache uhuni
Siyo kweli, hamna limitation, nina Trade pair karibia zote ambazo ni commonly known
Hamna wakala wa Templer ila tunafurahia huduma zake nzuri, kianzio cha $1 ni kwamba hata mtu mwenye mtaji mdogo bado anaweza ku Trade
endeleen kuwavuta watajaa tu kwenye Kumi na nane zenu wakijaa kulen vichwa vyao.Limitations kwa maana spread zenu ni kubwa na ni kubwa maradufu likiingia giza.... tofauti na sisi wengine..... Pia kwa pairs kama GOLD kwenu margin ni $12.89 while mm kwangu ni around $2 tu, leverage ya 500:1 hapo... Kama unaijua athari ya margin kubwa utakuwa unajua nini nazungumza
Initial deposit, kuna wanaotaka uanze na $25 , $200 n.kCan you trade a single dollar?
Ndio maana nikakuuliza kwani wewe una Trade pair zote kwenye MT4 yako? Just a simple questionLimitations kwa maana spread zenu ni kubwa na ni kubwa maradufu likiingia giza.... tofauti na sisi wengine..... Pia kwa pairs kama GOLD kwenu margin ni $12.89 while mm kwangu ni around $2 tu, leverage ya 500:1 hapo... Kama unaijua athari ya margin kubwa utakuwa unajua nini nazungumza
Ndio maana nikakuuliza kwani wewe una Trade pair zote kwenye MT4 yako? Just a simple question
Na ndio maana kila mtu ana chaguo lake linalompendeza, kitu unachoona hakikufai siyo kwamba lazima nami kisinifae, kwa taarifa yako nimewahi kuwatumia broker hawa, Tickmill, Pepperstone, Jp Market, HotForex, Xm, mwisho wa siku kutokana na usumbufu niliokumbana nao huko ikiwemo masuala mengi ikiwemo deposit na withdrawal nimeamua ku stick na Templerfx,Am not trading all pairs lakini baadhi ya pairs ninazo trade siwezi trade huko kwenu.... Either hazipo au trading cost yake ni kubwa.... Trading cost kubwa nazungumzia margin requirement pamoja na spread
Na ndio maana kila mtu ana chaguo lake linalompendeza, kitu unachoona hakikufai siyo kwamba lazima nami kisinifae, kwa taarifa yako nimewahi kuwatumia broker hawa, Tickmill, Pepperstone, Jp Market, HotForex Xm, mwisho wa siku kutokana na usumbufu niliokumbana nao huko ikiwemo masuala mengi ikiwemo deposit na withdrawal nimeamua ku stick na Templerfx,
Kwa hiyo ni maamuzi binafsi tu ya mtu kuchagua broker, sijawahi kuhofia suala la Spreads as long as My Analysis are correct faida nitaipata tu
Mkuu kubali tu jamaa kakugalagaza kwa hoja na vielelezo.
Hata Mimi layman kwenye Forex naona kabisa broker wako ni scam