Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

Poleni kwa walioguswa,

Hata hivyo ni hela ndogo sana kama mlianza kudownload pesa siku nyingi mtakuwa mlisha download nyingi sana.
Mkuu ni watu wa batch za mwanz, kuna dogo alkua batch ya 3 iv alikua ananitambia saana tunadowld $ tu kipndi iyo tmt iko on [emoji91], akawithdraw zaid ya 1M,, sasa kuanziaa apoo[emoji19] dogo ni mwendo wa kudoposit tuuu maninaaa mpk kakataa tamaa
 
Nimetafuta explaination kwanini alichukua 50m za kampuni sijaona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…