Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

Someni hizo screenshot vizuri, someni statement ya Ontario......INAWEZEKANA hata Ontario na yeye kapigwa na inaweza kuwa sababu ya yeye kuchukua hio irrational decision.
 
Someni hizo screenshot vizuri, someni statement ya Ontario......INAWEZEKANA hata Ontario na yeye kapigwa na inaweza kuwa sababu ya yeye kuchukua hio irrational decision.
Hata mimi nimehisi hivyo aise kapata breakdown ndio maana kaamua kuondoka na huo mzigo wa milioni50
 
"Invest what you can afford to lose" msemo mkubwa sana kwenye forex, kabla hujaingia kwenye huu mchezo unatakiwa ujiulize sana!
 
Tapel n level ya juu kabisa katka unyanganyi
Picha linaanza
TMT, clients wake walijua the million team, kwamba hyo team watakua watu wa kushka millions tu. Na yeye hakuwaambia chochote

Pcha linaungua
TMT, the million team kwamba team itakayokua na watu weng kama million iv na sio million za ela wala utajir

Huu mkasa tuutengenezee series kabisa wema,ray,jb... wakauze maana n noma
 
Misukule ya TMT walikomaa sana kua hawajapigwa naona leo wenye kampuni wote wameonyesha uhalisia wa balaa lilotokea.
Ontario ni hatari sana dogo ukijichanganya kusoma hata iyo msg yake unasahau kua alishakujeruhi hata akianzisha biashara ya kukusanya mavi ya kuku lazima umfate tena ukapigike anajua sana kucheza na maneno tatizo watu wa namna hii wana mwisho mfupi siku hizi watu hawajui kusamehe wakudhulumiwa lazima wazae nae,kawapamba misukule yake kua anawapenda na atarudi tena kuwabeba [emoji23][emoji23] hapo wanamsubiri kama nabii vile.
Nakumbuka The Bold alichezea ban kipindi fulani basi kundi lake lilikuja juu kua nabii wao kaonewa naona nae kachezea matope kaishia kuchafuka kwa hizo screen shot hawa jamaa walijipanga kimkakati ilikua ngumu wenye tamaa kuchomoka maana The Bold kawazoa kule kwenye hadithi zake uku nguli Ontario anapita nao kuhusu matrekta na ufugaji wa kuku haaaaa haaaaa hapo tu kuku wenyewe wakaingia tunduni TMT kilichofuata ndio hiki tunakiona safi sana vijana haya maisha ukiwa na huruma hutoboi vumilieni watasema alafu watasahau mbona sisi tumesahau 1.5Trillion vuteni pumzi njooni tena mazwazwa hawaishi.
 
Huyu tapeli bado mnamchekea tu?? Sema Mil 50 ziko wapi?? Blabla kibao, sijui nini, Mara utaandikwa kwenye vitabu sijui upupu gani. Wanaokuamini nao wapumbavu kama wewe, yaani dogo ungekula yangu muraa hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii labda Mimi sio mkurya,
 
Ndugu huyo broker una deposit na kuwithdraw pesa kwanjia gani aise boss?

zipo njia nyingi ila my self natumia neteller na pia nishawahi kutumia VISA. Kwa sasa sitaki kudeposit/kuwithdraw kwa kutumia deposits ambazo zinainvolve third party hata kama ni simple namna gani. Maana kwa kupenda urahisi huko ndiko kumepelekea huu uzi umefunguliwa leo

Kitu kikubwa ambacho nimejifunza na pia ningependa na watu wengine mjifunze hapa ni kwamba, sawa third party anaweza akawa anarahisisha maswala yako ya kifedha, unapata pesa yako haraka n.k. lakini once linapokuja swala kwamba hujapata pesa yako au hela yako haijareflect kwenye mt4, wewe ndio inabidi uwasiliane na third party na siyo broker wako, wakati contract iliyopo ni baina ya third party na broker. HAPA KUNA TATIZO.

May be let ask you mnaotumia brokers wanaoinvolve thirdy party, yanapotokea matatizo either hujapata hela yako au hela haijareflect kwenyeaccount, ukiwasiliana na broker wako huwa anakupa majibu gani? Lazima tu atakuambia uwasiliane na third party pamoja na kwamba yeye ndio aliingia mkataba na huyo third party. So brokers wamekuwa wakijivua responsibility yao. Tumeona hilo kwa JP markets. Hata tickmill ypo hivo na pia hata templer yupo hivo.

Pia ukiangalia hata katika issue ya kuopen criminal case Jp markets ndio alitakiwa kuopen hiyo criminal case sababu wao ndio waliingia contract. Lakini huo mzigo mmebebeshwa nyinyi traders and kuna watu wanaliona hili liko sawa. Lakini mtakapokuja kwenye swala la kisheria mahakamani ndio mtajua ni nini nazungumza.

NAAPA KABISA HAPA, KAMA TRADERS NDIO MTAOPEN HII CASE MAHAKAMANI(UNLESS CREATEN NDO AFUNGUE, AU KAMA KUNA MTU ALIDEPOSIT HELA THEN HAIKUREFLECT KWENYE MT4), ILA MLIOBAKI WALAH HAMTASHINDA. NO WONDER HATA JEFF KUONESHA KUTOJALI JUU YA ALICHOKIFANYA, ANAJUA NI NINI ANAFANYA. NA NNA UHAKIKA ANAJUA KABISA KWAMBA ANAJUA NYINYI TRADERS MKIENDA MAHAKAMANI HAMUWEZI KUMSHINDA.

Na JP market wala hawezi kujisumbua kwenda kuopen case mahakamani sababu hela zenu si anazo. Ye hana shida.

The only thing mnaweza kufanya ni kutuma complaits zenu kwenda FSB sababu ndio regulator wa jp market. Sasa huyo regulator kama ana makali mtapata hela zenu ila kama ndio hana makali basi kaeni tu pembeni dawa iwaingie, maana toka mwaka jana watu tunapiga kelele kuhusu jp markets lakini tulionekana kama haters

Nadhani nimeeleweka
 
Humu naona watu wengi wanaocomment kwa hasira bila hata kuwa na abc ya tukio wala kufahamu chochote.

Binafsi sijafungamana na upande wowote ila mbona wote mnaonyesha hasira na dogo Ontario? Mbona sijaona mtu alieonyesha hasira kwa Createn?

Tatizo watanzania ni wavivu wa kufikiri so mtu akisikia tu kichaa flani anasema Ontario kakimbia na hela zetu naye analibeba hivyo hivyo without processing or filtering the info using his/her f* brains.

I have been watching this saga for a while without saying a word but today I have personally decided with my rightful mind to give my opinions on this matter. Though I know a lot of naysayers will start coming with blah blahs.

And For this who will think I have personal interests with TMT, the truth is I have never been in or associated in any way with TMT. I have decided to make my self clear on that coz I know Tanzanians.

Cheers[emoji178]

Wishing y'all a productive week

XTAPER.
 
Naona kwenye maelezo yake hapo juu anasema siku za mbeleni atakuja kuandikwa kwenye kitabu cha kumbukumbu cha hapa tanzania na atakuja kukumbukwa sana kwa hapo baadae.....

Ngoja tuone this time atakuja na ishu gani ambaye itamfanya akumbukwe....
Atakumbukwa kwa utapel tuu si kwa lingne!!!!! Tena watu wana hasira nae saan ajui tu.....
 
Hii dunia ina vituko sana!

Hivi si kuna siku tuliambiwa mtu unatrade and after 1 week unapata 40m?

Asa mbona 50m ndo imekwapuliwa na account haina kitu?

Yaan 50m was seed capital for the company+ clients!
 
Weka spread za Templerfx hapo for fair comparisons, wacha ku guess! Pamoja na yote hayo nani aliyekuambia kila pair kwenye MT4 lazima u trade?
Templer ni tapeli tu, kama matapeli wengine, spread kubwa mno, huu ni moja ya utapeli, kigezo cha mpesa kisiwe kigezo cha kutaka kuwaaibiwa watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…