Ni sh ngapi kwani mkuu? Ml 50?Ni kweli au naota? Ngoja tusubiri ili tujue kutoka kwa ONTARIO kama kweli muungwana kama yeye anaweza kutia ndani kitita choooote hicho.
hii kweli deje vu "" haya haina shidaAhahaha!! Usijali mkuu coincidence hizi au déjà vu zinatokea sana.
Shukrani kwa tag.
Kwa mahesabu mbona ni hela ndogo sana?Mil 50 usawa huu.
Jamaa yupo malawi muda huu
yaani na wewe ..uliingia kwenye huo mkumbo""?Hebu acheni utani mnatuweka kwenye hali mbaya sana tunaomtumia broker JP Market.
Haha mkuu ndugu yako ameshafanya mambo..dah!!Ahahaha!! Usijali mkuu coincidence hizi au déjà vu zinatokea sana.
Shukrani kwa tag.
Ahahaha!! Usijali mkuu coincidence hizi au déjà vu zinatokea sana.
Shukrani kwa tag.
Client hamkuibiwa? We unataka mkiibiwa hadi waje wawakabe kwa nguvu wachukue mkwanja wenu? Kuna direct and indirect robbery...mmefanyiwa indirect robbery maana hata hicho kilichochotwa na komando kipensi kimetoka kwenu au kwetu sisi misukule.Mm nipo kwenye group ukweli ni kwamba client hatukuibiwa ila kuna mgogoro kati yao. Kwa hiyo katika account za TMT Sirjeff kachukua hela yake kasepa kwa sababu katika kampuni alikuwa na share. So kuchukua share zake si kosa na kutokana na ugomvi inawezekana share zake zilizuiwa
Nawe ulikuwa na habari?Ohooo!! Shiit! I'm I late?
acha tu aisee hizi tamaa hizi ingawa nina wasi wasi sana na huyu Msouth Creton toka siku nyingi sanayaani na wewe ..uliingia kwenye huo mkumbo""?
Sometimes huwa namkubali sana huyu ndugu yangu... He is ninja and hungry ni kama chenge tu wao wakiona gap wananyoosha kweli kweli.Haha mkuu ndugu yako ameshafanya mambo..dah!!
Mkuu hebu nieleweshe hapa,yani jamaa kaondoka na hela za wateja ambao walibook training??au??Sometimes huwa namkubali sana huyu ndugu yangu... He is ninja and hungry ni kama chenge tu wao wakiona gap wananyoosha kweli.
Clients wataibiwaje wakati hiyo account inatumika kupitisha tu pesa za clients sio kuzihold mkuu....Hizo zitakuwa ni pesa za kampuni yao TMT sio za clientssClient hamkuibiwa? We unataka mkiibiwa hadi waje wawakabe kwa nguvu wachukue mkwanja wenu? Kuna direct and indirect robbery...mmefanyiwa indirect robbery maana hata hicho kilichochotwa na komando kipensi kimetoka kwenu au kwetu sisi misukule.
Ni sawa na wewe unaweza kusema chenge hajawahi kukuibia wewe..wakati in reality alishakunyoosha.
Ahahaha!! Huwa unanifurahisha sana we jamaa yaani akili zako huwa fupi kama maisha ya funza..you can't comprehend my intellect and sophistication hata theluthi.Lnafiki Spiritual, fala sana.
Likatolewa mkuku mkuku na chupi mkononi kwenye magroup yote ya TMT baada ya kuumbuliwa na wadau.
Hehehehehe.. Linafiki. Kwishaaa
Kama nimedeposit $89.02 na sasa nina $197 hivi nimeibiwa wapi?Client hamkuibiwa? We unataka mkiibiwa hadi waje wawakabe kwa nguvu wachukue mkwanja wenu? Kuna direct and indirect robbery...mmefanyiwa indirect robbery maana hata hicho kilichochotwa na komando kipensi kimetoka kwenu au kwetu sisi misukule.
Ni sawa na wewe unaweza kusema chenge hajawahi kukuibia wewe..wakati in reality alishakunyoosha.
Nakosaje sasa habari Mimi mwanahabari nguli kuliko pascal mayalla?Nawe ulikuwa na habari?
pole sana "" hali ya kawaida hiyo "" unapokesea pakukanyaga na kuanguka"" ndio dira ya utambuzi wa akili itakavyoweza kukusaidia kuujua ubaya wa njia"""acha tu aisee hizi tamaa hizi ingawa nina wasi wasi sana na huyu Msouth Creton toka siku nyingi sana