Onyango amefungwa spidi gavana miguuni?

Onyango amefungwa spidi gavana miguuni?

Execute

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2022
Posts
3,000
Reaction score
7,336
Kuna muda nilishangaa sana alipokuwa anakimbilia mpira halafu akapitwa na mtu kutokea mbali sana.

Anyway, kinachomsaidia ni kucheza kwa akili maana isingekuwa hivyo mambo yangeharibika.

Ila sijui kwenye makundi ya CAFcl itakuwaje.
 
Ila sijui kwenye makundi ya cafcl itakuwaje.
Kuhusu speed kazi ipo jamaa hana sprint nzuri alafu ni mzito wa mwili.

Siku Simba ikicheza na Ihefu alafu beki wa mwisho wakacheza kwa pamoja Oatara na Onyango kama unabeti mpe Ihefu over ya 8.50.win
 
Kuna muda nilishangaa sana alipokuwa anakimbilia mpira halafu akapitwa na mtu kutokea mbali sana.
Anyway, kinachomsaidia ni kucheza kwa akili maana isingekuwa hivyo mambo yangeharibika.
Ila sijui kwenye makundi ya cafcl itakuwaje.
Kwa hiyo uzi uishie hapo, kwa kuwa umeshajipa jibu kwamba Onyango alikuwa anatumia akili!
 
Aliyekwambia mpira ni mambioo 2 nani? per merttusaker alichukua kombe la dunia n Germany alikuwa n mimbioo, vp mayele katetema tena?
 
Yanga msimu huu wana wachezaji wazuri sana.
Kama wasinge endekeza Ushirikina wangefika mbali sana.

Tatizo la Yanga ni Ushirikiana tu basi.
 
Kuna muda nilishangaa sana alipokuwa anakimbilia mpira halafu akapitwa na mtu kutokea mbali sana.

Anyway, kinachomsaidia ni kucheza kwa akili maana isingekuwa hivyo mambo yangeharibika.

Ila sijui kwenye makundi ya CAFcl itakuwaje.
Wewe mwenyewe unakiri ana akili sana na ndio la msingi. Nadhani thread yako ilipaswa iwe juu ya huyo aliyefanikiwa kumpita Onyango halafu akili akawa amemuachia JK na Sunday Manara wamshikie.
 
Manara aliwahi kusema wenye akili huko ni wawili tu mzee Sunday manara na mh. Kikwete kumbe hakukosea kabisa ona sasa mnataka mchezaji mwenye speed sio mwenye akili
 
Kwa hiyo uzi uishie hapo, kwa kuwa umeshajipa jibu kwamba Onyango alikuwa anatumia akili!
Ndo nlitaka kumuuliza hivyo hivyo..kukimbia bila kutumia akili ni sawa tu na tuisila kisinda
 
Hv we unadhani ukiwa beki lazima utimue mibio kama kisinda???..
 
Kuna muda nilishangaa sana alipokuwa anakimbilia mpira halafu akapitwa na mtu kutokea mbali sana.

Anyway, kinachomsaidia ni kucheza kwa akili maana isingekuwa hivyo mambo yangeharibika.

Ila sijui kwenye makundi ya CAFcl itakuwaje.
Kivyovyote vile beki za Simba ni beki sio zile za wanautopolo

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom