Onyesho la Ferre Gorra Katika PICHA

no big deal, just i see the work done by 'carolite' on d bodies of those fat women
 
NAONA KILA SIKU NGOZI ZETU ZA ASILI ZINAZIDI KUPOTEA.
asante kwa matukio mfukunyuzi ..mbona sikaoni kale katokto ka ki-congo kanakotoa burudani safi ya muziki?
 
Huyo mwenye nanihii nyeupe ni Dotinata? naona amezidi kujichubua
 
Picha ya kwanza!mbona sidiria ya ziwa lake la kulia imeshuka na kuanza kumwaga radhi!!tunaweza jua ni kwa nini wadau?
Picha ya sita kama mzee wa bar maarufu pale magomeni nae alikuwepo vile.........
 
Nadhani umefika wakati sasa kufanyike kampeni za makusudi kabisa kama ilivyo kwa ukimwi na malaria kuhusu hii tabia ya wanawake wa kitanzania kujikoboa sijui ndio mkorogo. Kwa kweli wanatakiwa kuacha kabisa. Mwanamke anapoteza hata ule uhalisia wake huelewi kama ni mdori au likingago gani sijui eh!!:A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13:
 
Huyu mkorogo ndio nyumbani halafu mbaya zaidi hajui hata kupaka hivyo vikorombwezo wanavyopaka wenzake sijui huwa inakuwaje yaani hawamwambii au ni nini??? Au lengo lake ni kufurahisha walionuna huko shughulini?
 
HUYU nae vp?? kama MSUKULE!
 
Huyu mkorogo ndio nyumbani halafu mbaya zaidi hajui hata kupaka hivyo vikorombwezo wanavyopaka wenzake sijui huwa inakuwaje yaani hawamwambii au ni nini??? Au lengo lake ni kufurahisha walionuna huko shughulini?

Eeh bwana eeeeeh! hakyamungu akijiona hapa atasema si yeye!:mmph:
 
Huyu mkorogo ndio nyumbani halafu mbaya zaidi hajui hata kupaka hivyo vikorombwezo wanavyopaka wenzake sijui huwa inakuwaje yaani hawamwambii au ni nini??? Au lengo lake ni kufurahisha walionuna huko shughulini?

Huyu anapata advice ya mkorogo kutoka kwa Mai wa Jesse hatari tupu.. ila naona wimbi la mkorogo linatupeleka kubaya
 
Lakini Firstlady1 hebu mlinganishe na mwenzake Mai anajikoboa lakini atleast anajua kutumia makeup inavyotakiwa angalau hachekeshi walionuna!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…