zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,217
Tanzania ni dampo! Tuwe makini na bidhaa au huduma tunazotumia
dawa nyingi zilizomo madukani zinaexpire mwaka huu. Kuweni makini kila unaponunua kitu angalia mwisho wake
Tamko litakawia sanaaa.... Tanzania ni dampo! Tuwe makini na bidhaa au huduma tunazotumia. TAHADHARI KWAWALE WANAONUNUA USIKU AU WAKIWA NA HARAKA ZA KUNANIII....
zina Batch No Tofauti
Mfg.Date 06./2007
Exp.Date 05/2012
Naomba tamko la Wizara ya Afya.Kuhusu hizi condoms.
zina Batch No Tofauti
Mfg.Date 06./2007
Exp.Date 05/2012
Naomba tamko la Wizara ya Afya.Kuhusu hizi condoms.