Onyo: Forex trading haina mamlaka ya usimamizi

mamiake

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2016
Posts
270
Reaction score
332
mama muuza mbege wakati nachukua oda zangu nimekutana na mada watu wanataka kutrade forex.niwaonye tu walevi wangu hiyo biashara haina regulatory body .hela ikiliwa ni imeliwa hutoweza kushtaki popote.ukitaka kujua jinsi ilivo feki fungua demo account hautokaa upoteze utakuwa unapata tu hata kama unakosea maksudi.lengo ni ili wakuvutie uweke mihela sasa hapo ndo utajua kama mbege ni zaidi ya henken.
bitcoin,forex trading ni kitu kimoja. broker wenu ambae ni mleta mada yulee atapata mihela huyo ngoja nihudumie wateja wengine naona wameingia kilabuni hapa



nachukua oda za mbege bado .
 
Upo na Pombe


gani?
maana mm natumia wanzuki, chang'aa na gongo namba one
Hii biashara niliifuatilia lkn ina ugumu wake km haujawahi kucheza kamari forex na bitcon itakuwa ngumu kwako. Angalau uwe umepitia hata betting. Nasikia bitcon km haujatunza vizuri wanakuibia.
 

Muuza mbege unazijua hadi regulatory bodies na umuhimu wake?
Kweli Tanzania tumepiga hatua sana ila tunajidharau
 
Mama muuza mbege, heshima kwako!

Mie ombi langu ni moja tu kwako... naomba ajira hapo kilabuni kwako, hata kazi ya kukusafishia viti ni poa tu. Nakupigia kazi huku unanifundisha forex, at the same time tuna-take care walevi wetu. Nahitaji Tsh laki 3 za mtaji.

Nawasilisha. 🙂🙂


-Kaveli-
 
Ingekuwa ni fake ungeambiwa usome kwanza ukishaelewa fungua demo ukijiona umeiva fungua real account... Ufake uko wapi apo? Mbona banks zinatrade?
 
Forex is real

People are making a lot of money and people are loosing too a lot of money.

Ila honestly nachukia kuchangia uzi huu basi tu sina namna ila.........vitakuja vilio vingi sana huku kwani watu wameaminishwa wameokota dodo wakati siku zote curse za kutengeneza pesa kila mtu anatembea nazo na ataweza kuzitumia pale tu atakapokuwa tayari.

Narudia tena kwamba kila pro trader anashuhudia kwamba sio rahisi kihivyo na kupata hela nyingi ni kwamba uwe na capital kubwa no

DISCIPLINE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mi nasubiria matokeo ndo nitrade
 
Forex is real

People are making a lot of money and people are loosing too a lot of money.

Ila honestly nachukia kuchangia uzi huu basi tu sina namna ila.........vitakuja vilio vingi sana huku kwani watu wameaminishwa wameokota dodo wakati siku zote fursa za kutengeneza pesa kila mtu anatembea nazo na ataweza kuzitumia pale tu atakapokuwa tayari.

Narudia tena kwamba kila pro trader anashuhudia kwamba sio rahisi kihivyo na kupata hela nyingi ni kwamba uwe na capital kubwa nk

DISCIPLINE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…