Hii ni kamari kama kamari nyingine.. Ila ni fursa nzuri kwa aliyeileta nchini. Atapiga mihela kilaini kama wahindi wa betting wanavyopigaAtakayebisha atutajie regulatory body inayodeal na forex trade nchini Tanzania.Baada ya hapo kwa pamoja tumbishie mama muuza mbege.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi aliyewadanganya banks zinatrade ni nani? Yaani ukapoteze mabilioni ya watu kwenye kamari? Na hata kama zinatrade unafikiri banks wanaoajiri first class Finance graduates wangepata hasara na kufilisika? Refer Barclays SA ilivyouzwa sababu ya hasara..Ingekuwa ni fake ungeambiwa usome kwanza ukishaelewa fungua demo ukijiona umeiva fungua real account... Ufake uko wapi apo? Mbona banks zinatrade?
Hili mimi nililiweka wazi tangia haya maandalizi ya forex yanaanza..Forex is real
People are making a lot of money and people are loosing too a lot of money.
Ila honestly nachukia kuchangia uzi huu basi tu sina namna ila.........vitakuja vilio vingi sana huku kwani watu wameaminishwa wameokota dodo wakati siku zote curse za kutengeneza pesa kila mtu anatembea nazo na ataweza kuzitumia pale tu atakapokuwa tayari.
Narudia tena kwamba kila pro trader anashuhudia kwamba sio rahisi kihivyo na kupata hela nyingi ni kwamba uwe na capital kubwa no
DISCIPLINE
Sent using Jamii Forums mobile app
Usha uza papuchi? Maana umenichekesha sana we mtotobonyeza tu hivo hivo kwani sh ngapi?
Mkuu kwa ufupi mimi nakukubali sana. Sana tena sana. Uzi wako ndo umenifanya nijue kuna kitu kinaitwa forex.Time will talk!! JF wamefuta kwa sababu za kiofisi, mimi pia sizifahamh. Kama unahisi Ontario ni tapeli, basi nipe week 2 kuanzia Jumatatu ya kesho.
ninatrade papuchi mimi sina shida na forex zenu
Hivi mkuu hii ni platform ya MT4 au unatumia platform gani katika trading? Maana yakwangu haiandiki hizo partition za DAY ,WEEK NKMkuu ONTARIO pole sana na nguvu kubwa ya chuki inayopambana kuona inakwamisha kama si kutokomeza kabisa juhudi zako katika kusaidia Watanzania wenzako kujikwamua kiuchumi lakini binafsi nina machache ya kusema kwamba Usikate tamaa Boss katu katu maana hawa wanaokupiga vita leo watatamani wangepata japo wasaa wakuzungumza na wewe hapo kesho so please just be Humble my dear brother and stick to your plans. Pia asante kwa kutufikisha mpaka hapa tulipo na nina imani tutafika mbali zaidi pamoja maana changamoto ni sehemu katika maisha
Kweli jambo usilolijua ni kama usiku wa giza.... Ukoo wenu ndo mmesoma political scienceHivi aliyewadanganya banks zinatrade ni nani? Yaani ukapoteze mabilioni ya watu kwenye kamari? Na hata kama zinatrade unafikiri banks wanaoajiri first class Finance graduates wangepata hasara na kufilisika? Refer Barclays SA ilivyouzwa sababu ya hasara..
Sasa kama First Class Graduates wameshindwa wewe uliyesoma Education na Political science utaweza? Kuweni makini vijana, hakuna pesa za bure hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Unakubali kwamba bank zinatrade??Hivi aliyewadanganya banks zinatrade ni nani? Yaani ukapoteze mabilioni ya watu kwenye kamari? Na hata kama zinatrade unafikiri banks wanaoajiri first class Finance graduates wangepata hasara na kufilisika? Refer Barclays SA ilivyouzwa sababu ya hasara..
Sasa kama First Class Graduates wameshindwa wewe uliyesoma Education na Political science utaweza? Kuweni makini vijana, hakuna pesa za bure hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
FactAtakayebisha atutajie regulatory body inayodeal na forex trade nchini Tanzania.Baada ya hapo kwa pamoja tumbishie mama muuza mbege.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina hakika kama wanafanya hivyo.. Na kama wanafanya that is interbank trading na lazima kuna insurance ya ku cover losses wakizipata..
Nauwakika hao wote wanaopiga kelele,wanaufahamu mdogo sana,hata wameshindwa kugoogle kusoma kuhusu fx??au ndiyo hawawezi hata kukaa chini dakika chache kusoma kujua kinachozungumziwa??poor us Tanzanian,Wivu wa kike....wivu wa Ki....nge...mtu amaeshindwa kusoma vitabu na kuelewa na kufuatilia mambo anakuja kuongea utumbo hapa.
Kama mtu hakwenda shule awalaumu wazazi wake walioshindwa kutimiza jukumu lao la kumpeleka shule asije kumlaumu Ontario kwa kuleta fursa ambayo ameshindwa kuielewa anasema ni utapeli (excuse my language mkuu hii kitu imenikera sana)
Achana na hao kengemaji wasiojitambua father!!they know nothing in this world!!!Mimi kama Mtumishi wa madhabahu nasema hivi:
Nataka niwe kama ONTARIO... At least robo yake (nikishindwa kufikia 100%)
Kama ONTARIO ni Tapeli namie niwe tapeli... Kama ni Hustler namie niwe Hustler....
Kama ONTARIO ni masikini namie niwe masikini...
Kama ONTARIO ni tajiri namie niwe tajiri....
Haters it is too late by now.... Moto umewaka, unazimwa kwa petroli...
Ptuuuuuuuuuu (nimewatemea mate ya usoni hayo)
[HASHTAG]#TMT[/HASHTAG]
[HASHTAG]#SuccessForNoReason[/HASHTAG]
Matatizo yakuzaliwa toi!!!na sio bista!!hakuna unacho kijua k ww kaipangie familia yako mata \] ko we soma utaelewa uki reply we ni mnafiki
Sina hakika kama wanafanya hivyo.. Na kama wanafanya that is interbank trading na lazima kuna insurance ya ku cover losses wakizipata..
Just imagine banks wanaajiri Treusurers ambao ni First Class Students waliobobea kwenye Finance tena kwenye vyuo ambavyo wao wanaviamini. Kama hiyo forex trading ingekuwa rahisi basi hesabu kwa pesa zilizopo bank na umahiri wa wafanyakazi wake hakuna bank ambayo ingepata hasara au faida kiduchu, banks have alot of money boss, instead ya kufanya gambling na pesa za watu it's safe ununue bonds tu ambazo ni faida nyepesi, ni afadhali ukopeshe kwa collateral hata deni lisipolipika kuna njia za kufata hasara.
Sasa bank zikacheze hiyo michezo wakipigwa hasara wakarudishe wapi hiyo pesa? Ndio maana nimekwambia kama wanafanya hivyo vitu basi ni biashara ya siri ya ndani na BOT wakishtukia hiyo bank itafungiwa mara moja..
Usiniletee kelele nyingi.. Niambie ni wapi BOT imeruhusu hiyo biashara nchini kwetu...Unafahamu kwamba ukishasema tu "huna hakika" juu ya kuwepo kwa jambo fulani wakati huo huo umetoka kutoa maelezo ya kutokubaliana na uwepo wa jambo hilo, basi moja kwa moja unakuwa umetengeneza self-contradiction ambayo inakuonyesha wewe haujui chochote juu ya jambo hilo unaliongelea!? Yaani kwa kifupi ulichokiongea ni upuuzi!!?
Na pia unafahamu kwamba major players kwenye forex markets ni INSURANCE,HEDGE FUNDS, BANKS na hawa retail traders wao wana share kama 20% tu!???
Unafahamu kwamba ukishasema neno trading tu tayari umeingiza risky ndani?? Sasa hiyo insurance ya kucover hizo losses ziko vipi na zinatoka wapi?
Usiniletee kelele nyingi.. Niambie ni wapi BOT imeruhusu hiyo biashara nchini kwetu...
Nachojua Bank ikifahamika inafanya hicho kitu ni inaporwa leseni siku hiyo hiyo.. Hiyo biashara ni nchi chache sana duniani zimeruhusu na nyingine zikiruhusu kwa leseni ya gambling na nyingine chache ndio wanaitambua kama financial trading..
Sasa niambie wewe, ni wapi na lini Benki kuu kama regulator wa benki za biashara imeruhusu hiyo biashara hapa nchini?