Onyo: Forex trading haina mamlaka ya usimamizi

Al-Watan wacha muneno na kingereza kingereza kingi! The botton line hii forex trading yako unayoitetea is not fit for Tanzanians. Endelea nayo huko marekani.
Kama wewe unaishi nje una nyemelea kuja bongo kuleta ubroker wako kutufilisi masikini, basi umenoa. Sisi tutawafumbua macho watanzania kwa hii unregulated crap business. Asante sana.
 
Tatizo hata nilichoandika hujaelewa.

Kuna mtu nishataka kumfanyia u broker hapa?

Hili umelipata wapi?

Au unaharisha maneno tu?
 
Tatizo hata nilichoandika hujaelewa.

Kuna mtu nishataka kumfanyia u broker hapa?

Hili umelipata wapi?

Au unaharisha maneno tu?
Mimi sitaki kuelewa uwongo wa forex trading, bora niwe hivihivi. Nikielewa nimekwisha! Tunakuomba husilazimishe ku mislead ndugu zetu wabongo. Kaa na FOREST trading yako mwenyewe.
 
Mimi sitaki kuelewa uwongo wa forex trading, bora niwe hivihivi. Nikielewa nimekwisha! Tunakuomba husilazimishe ku mislead ndugu zetu wabongo. Kaa na FOREST trading yako mwenyewe.
Wewe si tu huwezi kuelewa forex trading, hujui hata kusoma na kuandika.

You are semi-literate and cannot follow an argument with a coherent chain of though.

Unavyojibizana na mimi tu hapa unaonyesha hilo.

Kwa hiyo ni sawa tu ukae pembeni, uachie watakaojaribu.
 
Kama sijui kusoma na kuandika, umenielewa vipi nilicho andika mpaka ukajibu majibu kulingana na nilicho andika? Mbona inaji contradict mwenyewe? Unajiona msomi kwa kuandika kingereza lakini u cant think logically nor reason. Pole sana Al-Watan!
 
Following an arguments with you is a waste of time!
How can i be coherent with someone like you, completely brainwashed with forex trading?
The only way for people like you to understand is to have an incoherent and messed up arguments.
 
nielewe sijasema forex trading ni feki.ila hii ya kuita watu wakatrade ni feki katika watu mia tatu hata kumi hawatafika watakaopata hela.acheni kudanganya watu .kwanza mnahujumu uchumi.watu mia tatu kila mtu akitoa m moja ni sh ngapi hyo ?
kumbe roho ya kwanini apate yeye tu ndio imekusukuma kuandika ujinga huu
 
Kama sijui kusoma na kuandika, umenielewa vipi nilicho andika mpaka ukajibu majibu kulingana na nilicho andika? Mbona inaji contradict mwenyewe? Unajiona msomi kwa kuandika kingereza lakini u cant think logically nor reason. Pole sana Al-Watan!
Hujui kusoma na kuandika ndiyo maana huelewi maana ya "semi-literate".

Look it up.
 
Following an arguments with you is a waste of time!
How can i be coherent with someone like you, completely brainwashed with forex trading?
The only way for people like you to understand is to have an incoherent and messed up arguments.
Then you surely like to waste your time.

You have been engaging me thoroughly here.
 
Hiyo siyo biashara, ni kamali sawa na pata potea. Risk level yake ni extremely high. Husipotoshe watanzani mjomba!
Sasa umelazimishwa kwenda mbona unabet atusemi, acha wivu wa kike, na chuki binafsi, na atoboa sijui utalala nje, bwahahahaha
 
Kwahiyo unataka kusema bank hazifanyi biashara ya kuuza na kununua fedha za kigeni???

Kumbe wapumbavu wapo wengi eeeh!!!!
 
Dada zako wanamamlaka ya usimamizi wako lakini wanabeba mimbaa
 
Sasa umelazimishwa kwenda mbona unabet atusemi, acha wivu wa kike, na chuki binafsi, na atoboa sijui utalala nje, bwahahahaha
Tatizo baadhi ya wabongo kama nyinyi hampendi watu kutoa mawazo na mitazamo yao. Tukiwaambia ukweli mnatutukana, kutuzushia uwongo au kututishia amani!
Eti wivu wa kike! Nikuone wivu au chuki nakujua wewe? Ndiyo maana wengi mmeharibikiwa sababu ya uwezo mdogo wa kufikiri.
 
Kwahiyo unataka kusema bank hazifanyi biashara ya kuuza na kununua fedha za kigeni???

Kumbe wapumbavu wapo wengi eeeh!!!!
Benki inafanya biashara ya kuuza na kununua foreign currency, lakini si kwa kufanana na forex trading. Mpumbavu utakuwa wewe maana uelewi hilo!!
 
Nauwakika hao wote wanaopiga kelele,wanaufahamu mdogo sana,hata wameshindwa kugoogle kusoma kuhusu fx??au ndiyo hawawezi hata kukaa chini dakika chache kusoma kujua kinachozungumziwa??poor us Tanzanian,

Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo mengine you dont need to google as if Google is always correct!
Mambo mengini ni kufikiri logically and come to your own conclusion. Siyo kila jambo unakimbilia google kama alitengeneza mjomba wako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…