Onyo: Forex trading haina mamlaka ya usimamizi

Kwa wale Trader ambao wangependa kumtumia broker Templerfx.

Broker huyu anakuwezesha kuweka PESA na kutoa kwa njia ya M-PESA.

Kujisajili ni rahisi sana kwa kutumia kitambulisho chako cha kupigia kura na namba yako ya simu utakayotumia kuweka na kutoa pesa kwa broker.

JISAJILI SASA
Usisite kuomba msaada

TemplerFX | Promo
 
Na wengi wao wanaojifanya wanaijua forex ni hawa baadhi ya vijana na wanafunzi wa vyuona! Wanajifanya wao wako up-to-date na techonogy wakati ushuzi tu!
 
Toka hapa na ujinga huo wa mabroker ushuzi!
Wezi tu hao!
 
Ni biashara halali. Tatizo hapa kwetu wajanja wengi.
Halali kwa dunia ya kwanza sababu zipo regulated, hapa bongo haziko regulated ni ushuzi mtupu uliojaa wezi na matapeli. Hiyo biashara haiko straight, mabroker wezi na huwezi kuwashitaki wakidhurumu visenti vyako.
 
Hivi kuna mtanzania yupi ambaye anaweza kuja hapa kudai kwamba ametengeneza pesa ya maana tangu kuanza kuangaika na Forex? Naamini hakuna! Ndiyo maana nasema hii forex kwa Tanzania ni ushuzi tu, ata wazungu hawaangaiki na ujinga huu!
 
Ukikua utaacha mdogo wangu
 
Kwa wale Trader ambao wangependa kumtumia broker Templerfx.

Broker huyu anakuwezesha kuweka PESA na kutoa kwa njia ya M-PESA.

Kujisajili ni rahisi sana kwa kutumia kitambulisho chako cha kupigia kura, namba yako ya simu utakayotumia kuweka na kutoa pesa kwa broker pamoja na E-mail.

Ndani ya saa 72 au chini ya hapo unakuwa na akaunti yako tiyari na kuanza kuitumia.

JISAJILI SASA
Wasiliana na mimi PM kwa msaada zaidi BURE.

Ni broker pekee ambae anayekuwezesha kuweka kiasi kidogo kuanzia dollar ($) 1 kwenye akaunti yako ,pia vilevile ana huduma ya haraka sana wakati wa kutoa pesa yako, dakika 15-30 tiyari pesa inakuwa imeshatumwa kwenye account yako.

BAADA YA KUJISAJILI

Ndani ya saa 72 au chini ya hapo unakuwa na akaunti yako tiyari na kuanza kuitumia.

JISAJILI SASA
Wasiliana na mimi PM kwa msaada zaidi BURE.

TemplerFX | Promo
 
Kwa wale wanaohitaj bonus za kuanza kutrade ni pm nitakudirect namna ya kupata ni rahic n wala hauhitaj kudeposit ili uweze kutoa faida yako....ukiishapata faida unatoa hela yako kiulaini kabisa..unaweza kuitumia kwa matumizi yako au kutransfer to another trading account...
 
Kwa wale ambao bado hajaifahamu forex au ambao wameisikia ila bado hawaamini ni njia halali ya kujipatia fedha...

Watanzania wengi hawaifahamu tofauti na wenzetu walioko Nigeria na Southafrica. Wabongo wanaoijua hufaidika kwa siri bila kuwashirikisha ndugu, jamaa na marafiki. Tusiwe wachoyo wa kuonyeshana fursa.

Muda unaopoteza whatsapp, facebook na instagram ungeutumia kujiingizia kipato, ni biashara hali inayofanywa na mabenki yote Duniani na sasa individuals kama wewe wanaweza kushiriki kupitia Broker mfano Templer. https://secure.templerfx.com/login/sign_up/113925

Kwenye simu yako nenda google store download app inaitwa meta-trader 4 (sio 5). Pia unahitaji kua na laptop ingawa si lazima kwa hatua ya mwanzo. Ili kusaidia wasioifahamu tutatoa mafunzo ya mwanzo introduction to forex bure.
(1) Kuelimisha kuhusu forex.
(2) Kuwawezesha kutumia forex
(3) Kufaidika na forex

Kwa wale wazoefu wa forex; tunatoa msaada wa strategy ambayo ni price action and quarter theory for analysis

We are using price action and quarter theory for analysis in the larger time frame and the BTMM method for a good time and position to enter trades (sniper entries).
You will need three templates on your laptop.
1) BTMM template,
2) Quarter theory lines drawn manually or by indicator
3) Price action support and resistance lines drawn on each pair.
*Install TDI indicator on your phone

Bonyeza link kujoin Telegram Channel na Group (Download Telegram kutoka google app. Whatsapp haifai inalimit ya member, Telegram haijai/no limit)

Signature Traders (BTMM)

Signature Traders Tz (BTMM)

Asanteni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…