Onyo: Forex trading haina mamlaka ya usimamizi

Demo haina emotion factor involved tofauti na real account kwahiyo kwenye demo haugopi kupoteza ila real lazima uwe makini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania wengine hatuna information na wengi hatutaki kusoma hasa vitabu! Anasema forex ni mbaya na muda huo huo hajui bank wanatumia pesa yake aliyoweka kwenye fixed account kufanyia forex!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania wengine hatuna information na wengi hatutaki kusoma hasa vitabu! Anasema forex ni mbaya na muda huo huo hajui bank wanatumia pesa yake aliyoweka kwenye fixed account kufanyia forex!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni upumbavu na ujinga kujifanya unajua jua sana halafu kumbe hujui na unapuyanga tu!
Watu wanapiga mbesa kwa hiari yao pasipo shuruti! then wajinga wachache wenye roho za korosho hawajui abc wanatokwa povu!

Fx nilifundishwa chuo nikapractize nikiwa kazini, mkoloni wangu alivyoona namzidi ujanja akanipiga sanction, nashukuru Mungu before detecting my motion, i had have made my way, nikaamua kujikataa na kuingia mtaani
kufanya yangu nje ya ulingo.
ONTARIO ni kama kaja kuliamsha dude, naufahamu wakutosha tangu 2008 nilikausha tu coz i was dealing in the op side of successes!!!
 
Forex trading is not an easy job my friends,go on
 
Forex unaweza tengeneza pesa vizuri sana kama unatumia skili sio unakurupuka tu na kudhani utakua bilionea kesho yake. Ingekua hivyo kila mtu angefanya. Forex ni real wala si utapeli na kuna watu wametajirikia trading wakafika point wakaacha. Brokers unaotumia platform zao haimaanishi wanakuibia, unajiibia mwenyewe. Nakushauri kaa muda mrefu kidogo uzoee kitu vizuri kabla ya kuanza kumwaga pesa.
 
hela ingekuwa inapatikana kirahisi hivo wachina wangekuwa kariakoo wakiuza yeboyebo?
We mpuuzi forex sio kuuza ubuyu ni Lazima usome ... Kasome vitabu vya kutrade forex ndio uje na kichwa chako kibovu
hela ingekuwa inapatikana kirahisi hivo wachina wangekuwa kariakoo wakiuza yeboyebo?
We mpuuzi forex sio kuuza ubuyu ni Lazima usome ... Kasome vitabu vya kutrade forex ndio uje na kichwa chako kibovu hapa...


Wewe lazima utakufa masikini kwa roho yako mbaya.


Hebu cheki wakenya wenzako walivyotutangulia kwenye hii issue
Best Forex Trade Training Classes in Nairobi- FX Kenya


Kitu kama hukijui omba taarifa

Sent From My Nokia Ya Tochi
 
Humu JF kuna watu wanajifanya wajuaji halafu kichwani hamna kitu na hata kusoma vitabu hawataki mtu anakwambia demo huwezi kupata hasara.forex is real na pia bila kusahau ina risk kubwa
 
mie nawashaur kusoma esp vitabu vya psychology of trading...
ukiijua hio saikolojia ya ku trade mama yangu utahisi u mganga wa kienyeji...
trading saikolojia ni nzuri itakupima emotions, attitude, itakukupima kwenye u greed, utajua kiasi gani uingize kwenye trade... lakini pia hizo nondo zitakusaidia hata huku mtaani kwenye baadhibyya projects...
mengine baadae
 
Hahaha, ngoja kwanza niisome tena na tena, maana kuna institution tayari inakua launched kama sikosei kesho
 
Ingekuwa ni fake ungeambiwa usome kwanza ukishaelewa fungua demo ukijiona umeiva fungua real account... Ufake uko wapi apo? Mbona banks zinatrade?
Hii "mbona mbona fulani anafanya" ndio inayotufikisha pabaya, hoja sio nani anatrade, hoja ni hio bishara haina mamlaka ya usimamizi, sasa kama ni muongo mpinge kwa kutuekea hiyo mamlaka
 
Afu haipendezi kwa mototo wa kiume kua namna hii....siku hizi ni nadra sana yaan kuna upungufu mkubwa sana wa watoto halisi wa kiume...humu jf
 
Hii "mbona mbona fulani anafanya" ndio inayotufikisha pabaya, hoja sio nani anatrade, hoja ni hio bishara haina mamlaka ya usimamizi, sasa kama ni muongo mpinge kwa kutuekea hiyo mamlaka
Mamlaka ya usimamizi ni wewe mwenyewe kuna broker zaidi ya 1000 na kuna terms and conditions ata hao unaosema ni wezi before hujafungua account wanakwambia YOUR CAPITAL IS AT RISK deci sidhani kama walikuwa wanaonya watu
 
Nashindwa sijui ni comment nini, maana nahisi huyu muuza Mbege ni mtu wa Sengerema kwa hiyo ni Msengerema huyu!!!!🙂
 
Mamlaka ya usimamizi ni wewe mwenyewe kuna broker zaidi ya 1000 na kuna terms and conditions ata hao unaosema ni wezi before hujafungua account wanakwambia YOUR CAPITAL IS AT RISK deci sidhani kama walikuwa wanaonya watu
Mkuu kila la kheri, mimi knowlage yangu ni ndogo kuingia kwenye hiyo midude
 
nielewe sijasema forex trading ni feki.ila hii ya kuita watu wakatrade ni feki katika watu mia tatu hata kumi hawatafika watakaopata hela.acheni kudanganya watu .kwanza mnahujumu uchumi.watu mia tatu kila mtu akitoa m moja ni sh ngapi hyo ?
Sidhani kweli kama umeelewa hao watu 300 watakusanyika kwa swala gani,hiyo group ya kwanza ya 300 people ni kwa ajili yakujifunza tu,sasa wewe umekuwa na mambo negative kabisa,na ukae ukielewa kati ya hao watu 300 sio wote watakao fanikiwa kuingia kwenye kutrade,watu wanatofutiana huelewa na ujasiri kama ilivyo darasani sio wote wanopata alama za juu,sasa wataujumu uchumi namna gani??ebu take trouble ata ujisomee kidogo kuhusu hii biashara kuliko kuanza kuongea vitu ambavyo havipo kabisa,tatizo letu sisi watanzania hatupendi kusoma chochote kujifunza,zaidi ya maneno mengi nakujifanya tunajua kumbe mwisho wasiku tunachekesha!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sidhani kama kweli anaelewa anachojaribu kutuaminisha hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…