Onyo: Forex trading haina mamlaka ya usimamizi

Watanzania mbona mroho za chuki sana ua mnaumia wapi ukiona mwenzako anatusua... Watanzania sijui ase,. IDK Gaddaamm!!!???
 
Pambaneni na umaskini wenu sio Ontario
Kwa hiyo unadhani kuna cha bure duniani kwa hiyo ulitaka upewe kila kitu for free!

DJ sepetu
 
...hivi si kosa kisheria kuanika utupu wa akili yake hadharani?
..hawa wapuuzi kina mamiake wanastahili jela tu,
.blalbasket!
 
Mtoa mada unapotosha, no research no right to speak, Forex ipo dunia nzima ndio maana kuna mpaka waandishi mbalimbali waliojitokeza kuandika na kufundisha kuhusu hii kitu. Nadhani ungefanya utafiti kwanza ndo uje utuambie forex ni utapeli gani, kwa msaada kwako tafuta Vitabu vifuatavyo kwa kuanzia ili baadae uje hapa tujadiliane( Currency Trading for Dummies, ForexBible, Naked Forex, e.t.c)
 
Ni bora kuishi na Mchawi kuliko kuishi na mtu mwenye Chuki za namna hii...
 
Sio hiyo pekee huyu jamaa post zake huwa ni za kuwavutia sana watu anajua kucheza na akili za watu humu na anakuambia amefanikiwa but hataji kampuni yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mmechelewa sana kuondoa hzo thread maana huku mambo ndo yameshachanganya
kama n meli ishang'oa nanga
fire is burning nobody can stop only jah can
[HASHTAG]#themillionteam[/HASHTAG]
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Why now? Thread imekaaa muda mrefu sana.
Sitaki kuamini Kama zimeondolewa kwa kuwa Ontario ni tapeli. Nadhani ametumia Forum "Kujinufaisha" (nimekosa msamiati stahiki). Naamini alikua na bado ana nia Njema sana.
Pengine Uongozi wa JF ungetupa sababu kwa nini wameona ni vyema kuziondoa Nyuzi za Ontario. Ili wengine pia tujifunze isijirudie tena huko mbele.
 
hiki kitu ni kweli ama maana ule moto ulikuwa hauzimiki bado siamini kama ulikuwa ni utapeli nakama ni utapeli kazi ipo inakuwaje mathinker wanatapeliwa ivyo du isiwe
 
Sio hiyo pekee huyu jamaa post zake huwa ni za kuwavutia sana watu anajua kucheza na akili za watu humu na anakuambia amefanikiwa but hataji kampuni yake

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu,

Nadhani ukweli ni kwamba Ontario ana uwezo mzuri wa kuandika (as in detailed and well articulated articles). Maybe katika motive ya kushawishi watu but I think he is really good at that.
Kuhusu Kampuni Nadhani haujamfatilia vizuri sana... huwa anasema ni kampuni ya masuala ya kilimo (Poultry) - Jefren Agrifriend Co. Ltd
- I stand to be corrected- [emoji1488]
 
Time will talk!! JF wamefuta kwa sababu za kiofisi, mimi pia sizifahamh. Kama unahisi Ontario ni tapeli, basi nipe week 2 kuanzia Jumatatu ya kesho.
Ushauri wangu kwako bwana Ontario.....wale watu wanaolipa ile registration form uwapatie tu stakabadhi ili kuondoa maneno maneno yasiyo ya lazima.

Kila mtu na maisha yake....mbona hao hao wanajiunga network marketing na wanaweka mahela makubwa.

Kiufupi haters wote achana nao.

Sukari Yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…