Onyo: Forex trading haina mamlaka ya usimamizi


Jamani mjuzi hiyo LTD
Ifafanue kiundani na yake..
 

Ha ha haaaaa unachekesha

Inaelekea umejaribu kuijua kichwa kikakataa ukaingia wivu
 
Time will talk!! JF wamefuta kwa sababu za kiofisi, mimi pia sizifahamh. Kama unahisi Ontario ni tapeli, basi nipe week 2 kuanzia Jumatatu ya kesho.

Mzee baba nilisema jana kwenye ule uzi hawa jamaa wangejua wanapambana na mtu gani hakika wangejiona wajinga na wapuuzi wa kufa mtu.

Hakuna anayejua sababu za nyuzi kufutwa ila mkuua nakushauri tu wala usifanye bidii yoyote ya zile nyuzi kurudishwa hapa jukwaani. Achana nao iwe wamefanya kwa haki au hila haijalishi.

Ninachoamini mm ni kwamba Tanzania imeshajua kuna kijana anaitwa Ontario (Jeff) na sisi ni mabalozi wako tutakutangaza popote tutakapoenda.

Wangeziondoa zile nyuzi sekunde mbili baada ya wewe kuziweka wangekuwa wamefaulu sana...ila kwa kuziacha jukwaani muda mrefu kiasi kile wamafeli big time.

Niko tayari kwa ban ya maisha kwa hiki nilichokiandika...Long live JF
 
Time will talk!! JF wamefuta kwa sababu za kiofisi, mimi pia sizifahamh. Kama unahisi Ontario ni tapeli, basi nipe week 2 kuanzia Jumatatu ya kesho.
Mkuu tuko pamoja
Safari tuliyoianza pamoja tutaimaliza pamoja regardless of whatever happens

Hao wanaodhani ni utapeli they are narrow-minded

Nimesoma Forex nikiwa nachukua BAF (business aacounting and Finance) chuo kikuu Mzumbe. Nimesoma Forex nikiwa nachukua my CPA(Certified Public Accountant).
Vitu vingi vinavyohusu forex nimevisoma theoretically when in Collage and during my CPA and what you introduced is the practical side of it kitu ambacho I didn't know if it really axisted in the physical world.

Hao wanaongea kwamba ni utapeli ni wale waliokimbia umande wa MATHEMATICS and unfortunately they don't want to have open mind

We all know what we are doing

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Ndugu, hiyo 65k anayosomesha ONTARIO ni ndogo sana kiongozi.

Mimi nimesoma kwa 50$ for a week na hiyo ni kwamba mentor wetu alikuwa ana-launch ndo kafanya favor kwetu kwa bei hiyo coz tuliamini hii kitu ni real.

Kwa sasa hivi anafundisha kwa 300$ kwa wiki moja ndugu, sasa wee unaona hiyo aliyowa-charge ONTARIO ni pesa nyingi...?

Tatizo kutokujua uthamani wa kitu that's why unashindwa kukithamini ila ungejua thamani yake, ungetamani hela uliyolipa kusoma chuo ungesomea forex na chenji ingebaki ya kuanza ku-trade.

Usiongee usichokijua fanya kukitafiti kwanza, unless nawe uwe mentor na unaijua FX sasa unataka kupeperusha ndege wa mwenzako kwa kuona anakuja vizuri zaidi. Tuwe na wivu wa maendeleo ndugu.

[HASHTAG]#PambanaNaHaliYako[/HASHTAG]
 
Wadau wote wa Forex

Hizi nyuzi nyingi zakuiponda Forex na ONTARIO kwa nguvu sana, zote zinazidi kuipaisha tu Forex na mkuu ONTARIO.

Yaani msijali hizi figisufigisu zote ni KIKI kwa hii kitu, so let us take it positively. They more they push harder negatively, the more awareness they bring to more people around. In this way it is being pushed up further

Let's wait and see, time will tell everything

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nitakuwa wa pili kutoka mwisho. jamaa kafunguka hadi watu wamemjua majina yake halisi, account zake za social media, biashara zake hadi anapokaa. hakuna tapeli anayeweza kujireview kiasi hicho shida ya wabongo tuna wivu sana.


Wivu wa kike....wivu wa Ki....nge...mtu amaeshindwa kusoma vitabu na kuelewa na kufuatilia mambo anakuja kuongea utumbo hapa.

Kama mtu hakwenda shule awalaumu wazazi wake walioshindwa kutimiza jukumu lao la kumpeleka shule asije kumlaumu Ontario kwa kuleta fursa ambayo ameshindwa kuielewa anasema ni utapeli (excuse my language mkuu hii kitu imenikera sana)
 
Mimi kama Mtumishi wa madhabahu nasema hivi:

Nataka niwe kama ONTARIO... At least robo yake (nikishindwa kufikia 100%)
Kama ONTARIO ni Tapeli namie niwe tapeli... Kama ni Hustler namie niwe Hustler....
Kama ONTARIO ni masikini namie niwe masikini...
Kama ONTARIO ni tajiri namie niwe tajiri....

Haters it is too late by now.... Moto umewaka, unazimwa kwa petroli...
Ptuuuuuuuuuu (nimewatemea mate ya usoni hayo)
[HASHTAG]#TMT[/HASHTAG]
[HASHTAG]#SuccessForNoReason[/HASHTAG]
 
Sasa kama tatizo ni Forex, why mpaka ule uzi wa "Niulize chochote kuhusu ujasiriamali umefichwa....?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…