Onyo kwa Conor na muosha rungu

ooooo ohhh demi usikubali tena interview my queen

Wa kishua
Kwani kulikuwa na shida gani? Huo utoto wako naomba uuondoe kwangu. Siufurahii. Fanya na wengine naomba uniondoe.
 
Kwani kulikuwa na shida gani? Huo utoto wako naomba uuondoe kwangu. Siufurahii. Fanya na wengine naomba uniondoe.
Unapoteza muda kubishana na 'wasted sperm'[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Kwani kulikuwa na shida gani? Huo utoto wako naomba uuondoe kwangu. Siufurahii. Fanya na wengine naomba uniondoe.
demi mi sio mtt km vp kesho njoo home utanijua acha hasira tusiwape nafas manyamgau yanayotuznga humu

Wa kishua
 
Hii dunia ina warembo gunia usihangaike na waosha masufuria tafta mwingne kiroho safi na demu kama anakupenda hawezi kukubali hizo interview unazosema
Soma alama za nyakati
Pia umedokeza kumaliza six !hope unaenda chuo sasa kijana hapo ndo ukakaze kabisa ili mwisho wa siku ujikomboa kifkra kiuchumi n.k
A

acha uongo
 
Mkuu unadhani wewe hautakuwa Muhenga miaka michache ijayo?
Pambana na hali yako
Mi napiga story na mtt mzur demi afu mnapita kumwaga sumu nuks sana nyie

Wa kishua
 
Yule jamaa muosha sufiria maandaz sana anazinga madem wa watu tu

Wa kishua
 
Kwani unamlipa Ada acha utahira dogo

Wa kishua
 
modes, badala ya kufuta threads kama hizi za kijingajinga mnafuta thread za watu zenye maana,
sijaona sababu ya uzi huu kuendelea kuwepo hadi sasahivi
 
modes, badala ya kufuta threads kama hizi za kijingajinga mnafuta thread za watu zenye maana,
sijaona sababu ya uzi huu kuendelea kuwepo hadi sasahivi
Duu kweli nimetoa ushauri nimeambiwa tahira .

Hadhi ya jf inapotea sasa

acha uongo
 
modes, badala ya kufuta threads kama hizi za kijingajinga mnafuta thread za watu zenye maana,
sijaona sababu ya uzi huu kuendelea kuwepo hadi sasahivi
Acha wivu wa kike

Wa kishua
 
Duu kweli nimetoa ushauri nimeambiwa tahira .

Hadhi ya jf inapotea sasa

acha uongo
Ok mzee Baba nimekuchanganya na paka moja apo juu ananizinga
We nakukubali ninja

Wa kishua
 
Acha wivu wa kike

Wa kishua

dogo kuwa na heshima,
halafu nakushauri tu kabla ya kuwajibu watu ovyo jaribu hata kuangalia wamejiunga lini JF na pia jaribu kuangalia thread walizoanzisha au walizochangia utamwelewa ni mtu wa namna gani.
Sasa wewe huu uzi wako unaona kabisa ni wa maana?
Aisee we # Cookie seriously kama content quality controller wa JF embu pitieni thread kama hizi za kipumbavu ziondoeni mnashusha hazi ya JF na watoto kama hawa watafutiwe jukwaa lao au wapigwe ban.
Na we dogo lazima ukose mkopo usote tu kitaa shenzi kabisa huwezi kuniambia mimi eti na wivu wa kike, kwa lipi hasa la maana kutoka kwako sasa kama wewe unajiita wa kishua, Mimi kwa taarifa yako ni Mshua mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…