Onyo kwa mfumo wa kocha Masud Djuma wa Simba"

Onyo kwa mfumo wa kocha Masud Djuma wa Simba"

3llyEmma

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2017
Posts
6,172
Reaction score
6,884
MAPINDUZI CUP
FT: SIMBA 0 - 1 AZAM

Huu mfumo wa mabeki watatu(3) anaotumia huyu kocha Masud Djuma wa Simba ndio utamrudisha kwao na kuiacha timu ya simba ktk nafasi mbaya mno.

Tena anapokutana na timu zinazojua mpira kama Azam, Yanga, Singida akitumia mfumo huo ataambulia kichapo...

Kitendo cha KICHUYA kucheza nyuma km full beki wa kushoto au ZIMBWA km winger ..KITAWAKOSTI SANA SIMBA.

Ni bora akaliona kwanza hilo kabla hajatereza kwenye Ligi kuu.. Mfumo huo unahitaji timu nzima kujituma na bila kupoteza mipira kizembekizembe.. Pia uwe na mabeki wenye mapafu ya Mbwa..

Tena mfumo huu unafaa zaidi ulaya, Angalia kama Man city au Bayern..Sio hapa Bongo mchezaji kila muda anayakoroga tena eneo la hatari..

Sisi nywele ngumu tunajijua. Awe makini kwa hilo.
Ni angalizo tu
 
Kile kikosi kilicho shinda tatu ndicho kilitakiwa kianze.
Hii mambo ya kujaribu kila siku itatu cost sana.
 
Kile kikosi kilicho shinda tatu ndicho kilitakiwa kianze.
Hii mambo ya kujaribu kila siku itatu cost sana.
Hata striker nazo hazina makar ndugu ..kaz kukosa magoli ya waz tu
 
simba hakuna timu pale ni genge la wahuni, eti usajili wa billioni ule
Billion ndio kwan hujui ela ndio imefanya chirwa hajarud bado... Ile timu haijapata kocha tu
 
Billion ndio kwan hujui ela ndio imefanya chirwa hajarud bado... Ile timu haijapata kocha tu
sijafahamu mkuu, mie najua kapewa adhabu ya ajabu na tff....vp okwi kimemkwamisha nini kurudi
 
Wee unadhani Azam ni timu ya kitoto? wewe unafikiri tu kila timu ikiingia uwanjani lazima ishinde? kwa taarifa yako kocha hana nafasi yoyote huwa ni symbol of unity kwenye timu tuu vingine ni longolongo tuu. Vipaji vya wachezaji ndio vina matter. Hakuna mchezaji aliyezalia kuwa striker, aliamua tuu siku moja kuwa awe striker lakini sii kwamba hawezi kucheza sehemu nyingine, ndio maana akina roberto carlos ni mabeki lakini kwenye list ya wafungaji bora walikuwepo. Brother mmewahiwa tuu na sii kwamba ni kocha , mbona wamekosa kosa nyinyi kwani na hizo kocha anahusika? mabao yote waliokosakosa hao mkia fc wangefunga ungeongea unachoongea sasa? Kati ya watu ambaop hula ujiko wa bure pale timu inaposhinda au lawama pale inaposhindwa ni kocha ila hawana lolote kwani hata timu ikienda bila kocha yoyote kama ina wachezaji wenye vipaji vya asili watashinda tuu.
 
simba timu ya hovyo hakuna kitu wanabutua butua tu mradi mpira uende mbele
 
Kula like mkuu
 
Wee unadhani Azam ni timu ya kitoto? wewe unafikiri tu kila timu ikiingia uwanjani lazima ishinde? kwa taarifa yako kocha hana nafasi yoyote huwa ni symbol of unity kwenye timu tuu vingine ni longolongo tuu. Vipaji vya wachezaji ndio vina matter. Hakuna mchezaji aliyezalia kuwa striker, aliamua tuu siku moja kuwa awe striker lakini sii kwamba hawezi kucheza sehemu nyingine, ndio maana akina roberto carlos ni mabeki lakini kwenye list ya wafungaji bora walikuwepo. Brother mmewahiwa tuu na sii kwamba ni kocha , mbona wamekosa kosa nyinyi kwani na hizo kocha anahusika? mabao yote waliokosakosa hao mkia fc wangefunga ungeongea unachoongea sasa? Kati ya watu ambaop hula ujiko wa bure pale timu inaposhinda au lawama pale inaposhindwa ni kocha ila hawana lolote.
Mimi nimeongelea mfumo wa kocha..ambao kauleta kocha unawabana watu km kichuya n.k
wewe unasema makocha hawana lolote..kweli unajua kuliko waliobuni mpira wa miguu?.mfano Everton Alladyce hana lolote
 
Azam ni timu nzuri hakuna anaebisha... Ila futa neno kwamba kocha ni km symbol kwenye timu.
Eti kwa kuwa haingii uwanjani au?
Eti nafasi wanazokosa huwez mlaumu kocha sawa..ila matokeo ndio yanambakiza kocha kazin
Ulishasikia ulaya kapten kapewa ela asajili?
Au msemaji wa timu kwa bongo?
Au mashabiki?...kocha anaposajil striker asiyempa anachotaka+mfumo wake basi mzigo wote ni kwake.
Futa wazo la kocha hana lolote kwenye timu...wkt mazoezi+mfumo+kikosi+usajili= ni kocha hata km ni msaidiz jibu ni kocha tu.
 
Back
Top Bottom