Yeah na kesho hiyo hiyo uto ya mwakalebela ndiyo mtajua kumbe Simba sio level yenu ila ni timu kubwa barani Africa.Kesho Simba watagundua kwamba kumbe pilau lao chini lina mchanga kama sio kokoto
Nililonga hili sikuvya sare na el merreikh watu wakabisha wee mpaka mishipa ya makalio ikawatokaKosa la kiufundi linaloweza kuicost Simba ni kuzembea kumchapa Merreikh kwao wakati walikuwa wana uwezo wa kumfunga Merreikh sasa ona inamlazimu hii mechi akaze misuli kama John Cena ili atoboe maana nina uhakika tukipigwa hapa Vita atavuka kundi hili akiwa wa pili maana uwezo wa kumfunga Aly Ahly kwao ni mdogo sana
Utopolo wanatupa karata yao ya mwisho leo!! Semeni Sana muda huu maana baada ya mechi kila utopolo atalazimika kutekeleza uzi wake!! Waulize utopolo wenzio kina Renzo, All-Rounder ambavyo huwa wanatoka nyuzi zao!!Wakuu,
Kwa ufupi sana kuna kila dalili Vita wanaweza kutushangaza kuliko walivyowashangaza Al Ahly kule Cairo. Wamejiandaa kwa hii mechi kuliko walivyowahi kujipanga kwa muda mrefu kwa mujibu wa media za Kinshasa.
Simba wasahau rekodi zao za kwa Mkapa hatoki mtu, Simba wajiandae na game ngumu ambayo hawajawahi kukutana nayo pale kwa mkapa kwa muongo mmoja uliopita.
Simba watashinda hii game kama spirit za wachezaji zipo juu sana. Mbinu si tatizo bali ari ya wachezaji. Kocha wa Simba ni fundi wa hizi game lakini kesho will have the real test.
Mungu ibariki Simba, Mungu ibariki Tanzania [emoji120]
Ndiyo kama ulivyoona mwenyewe kilichotokea kwa NkapaWakuu,

Utopolo wanatupa karata yao ya mwisho leo!! Semeni Sana muda huu maana baada ya mechi kila utopolo atalazimika kutekeleza uzi wake!! Waulize utopolo wenzio kina Renzo, All-Rounder ambavyo huwa wanatoka nyuzi zao!!
Niwaombe tu leo jikazeni kubaki kwenye uzi hata kama simba itashinda! Utopolo mnatia huruma!!
KuziKesho Simba watagundua kwamba kumbe pilau lao chini lina mchanga kama sio kokoto
Aisee....DaaahSimba wasahau rekodi zao za kwa Mkapa hatoki mtu, Simba wajiandae na game ngumu ambayo hawajawahi kukutana nayo pale kwa mkapa kwa muongo mmoja uliopita.
Pole Mkuu.Kesho Simba watagundua kwamba kumbe pilau lao chini lina mchanga kama sio kokoto
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]YametimiaYeah na kesho hiyo hiyo uto ya mwakalebela ndiyo mtajua kumbe Simba sio level yenu ila ni timu kubwa barani Africa.