darcity
JF-Expert Member
- Jul 20, 2009
- 9,101
- 18,055
Kwa sie wa Daslaam tumekuwa tunakerwa sana na tabia ya vijana wa mikoani (vijijini),wanapofika Dar, badala ya kuwa na mambo yanayoendana na jinsia yao, wao ukimbilia kuiga tabia za upande wa pili.Wao hupiga selfie kwa pozi za kidada,hujichubua na wengine wanatamani kuzalishwa.Hata wale ambao hawajafika Dar ndio kabisa picha wanazopiga zinakera,pozi za kidada kwisha kazi.Tunajua kutokana na aina ya vyakula mnavyokula mmekuwa wazoefu huko nyuma.Tafadhalini mnapokuja Dar msijilegeze huku kuna wala supu za pweza wanatongoza hadi wanaume wanaojilegeza. Alafu muache kujiita wanaume wa Dar kwa kutamani mvuto tulio nao kwa dada zenu.
GEITA raha
GEITA raha