Onyo kwa wanaume wa mikoani

darcity

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2009
Posts
9,101
Reaction score
18,055
Kwa sie wa Daslaam tumekuwa tunakerwa sana na tabia ya vijana wa mikoani (vijijini),wanapofika Dar, badala ya kuwa na mambo yanayoendana na jinsia yao, wao ukimbilia kuiga tabia za upande wa pili.Wao hupiga selfie kwa pozi za kidada,hujichubua na wengine wanatamani kuzalishwa.Hata wale ambao hawajafika Dar ndio kabisa picha wanazopiga zinakera,pozi za kidada kwisha kazi.Tunajua kutokana na aina ya vyakula mnavyokula mmekuwa wazoefu huko nyuma.Tafadhalini mnapokuja Dar msijilegeze huku kuna wala supu za pweza wanatongoza hadi wanaume wanaojilegeza. Alafu muache kujiita wanaume wa Dar kwa kutamani mvuto tulio nao kwa dada zenu.



GEITA raha

 
Yule jamaa mbona hujamueka anaimbaga chokleti flavor au shombeshombe alipojitangaza kwamba yeye anakata viuno kuwashinda dada zake!
 
Huku mkoani kwetu ukionekana una Element zisizoeleweka tunakutoa nduki wanakuja huko dar kuungana na nyie wanaume wa dar msiotofautiana na dada zenu kumtambua mwanaume wa dar na mwanamke wa dar labda uwaambie wavue nguo uwakague
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimeamini ule usemi usemao NYANI HAONI KUNDULE,Hv wanaume wa aina hiyo ni kutoka mikoani tu au wenyeji wa Dar ndo mnaongoza[emoji780] ,Ww tulia kama ni mwanaume,sasa ukiwaponda hao wategemea wajirekebishe[emoji780] Hahahaaa
 
Hayo yaitwa mambo ya pwani mleta uzi...wamejaa kinondoni pale wanajiita wazawa watoto wa mjini acha kuwasingizia watokao mikoani. Hao wa mikoani wanakuja mjini makalio kama jiwe, mikono kama msasa hawawezi fanya hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…