CRAP!
...mara Usinywe maji baridi, mara usinywe maji mengi, mara ule matunda, mara usile matunda kila siku, mara unywe mvinyo mwekundu, mara usizidishe glass ya mvinyo.....kifupi, wanasayansi wameshindwa kugundua chanzo cha Cancer, aka kansa aka saratani!.......
"kansa yaweza mkumba mtu yeyote, wakati wowote, mahali popote bila sababu yeyote! " ( ya uncontrolled cells growth)...fullstop!
I do not think it is completely crap. Although anybody can get cancer (or many other diseases), there are varying risks among people.
First of all, cancers have multiple causes each contributing kidogo kidogo.
The role of research is to identify these multiple risk factors so that recommendations can be given to REDUCE the risk of getting (not completely eliminate the risk) cancer.
Secondly, sio kweli kuwa wanasayansi wameshindwa kugundua chanzo cha cancer; vyanzo vikuu vya baadhi ya cancers ziko well established kwa mfano saratani za shingo ya kizazi (HPV), maini (hepatitis B), mapafu (cigarette), matiti (genes) n.k.
Thirdly, katika utafiti wa kisayansi, mara nyingi hakuna majibu ya 1+1=2; namaanisha the truth about something is out there but depending on methodology and level of knowledge at that time you get be right ama wrong. Hii ni kweli kwenye masuala ya biology, physics na kadhalika. Mi nadhani hii ni kweli kwenye kila kitu hata watafiti wa historia wanaweza kupingana katika tafiti zao kutokana na source ya information.
Fourth, vyombo vya habari vina tabia ya ku-report kitu kimoja kimoja kama hivi kwa hiyo ukivifuata waweza kupotea. Kwa ujumla wanasayansi bado hawajajua namna gani ya ku-communicate findings zao na wananchi. Kwani kutoa recommendations inabidi kuangalia evidence kutoka katika studies nyingi sio moja.
Mwisho, contoversies ni muhimu ili research ziendelee (grants, mishahara nk) la sivyo watakosa ajira sio! [Sidhani lakini kama hii ni sababu muhimu! walikutana lini na wapi kufanya kikao cha kupanga njama hii!]