Onyo kwa watakaotumia App ya Yellow Wallet

Onyo kwa watakaotumia App ya Yellow Wallet

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Teknolojia imekuwa sana kulingana na mahitaji. Kuna mfumo ambao dunia sasa inatumia kwa ajili ya malipo na kupokea malipo ya kidigitali kwa jina cryptocurrency.

Bado nazidi kurudia kuhusu hii App kueleza sababu ambazo kesho utaweza kunishukurua.

Hawa Yellow Wallet walikuja na mtindo mzuri ambao hata mtu yoyote anaweza kununua hizi sarafu kwa njia ya benki au mobile money.

Cha kushangaza wametumia kujitangaza kwenye mitandao ya kijamii na kuruhusu maoni.

Jambo ambalo ukitaka kujua hawa watu sio wazuri pale uki comment kuhusu kasoro zao na tatizo wanafuta comment hiyo.

Mfumo wa app yao hakuna sehemu utakayo weza kuomba msaada au kuchart na mtoa huduma.

Onyo hili ni kwa wanaotumia hii App.

Nimetumia App za malipo za sarafu ila hii watanzania mtakuja kuleta majibu hapa
 
Hii hii ya mpoki?
Kuna jamaa mmoja wa canada alifariki na dola mil 250 za wateja wake
 
Back
Top Bottom