Onyo la Shaffih Dauda kwa Haji Manara Mei 13, 2021

Onyo la Shaffih Dauda kwa Haji Manara Mei 13, 2021

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
2,430
Reaction score
5,779
MEI 13, 2021

Anaandika Mchambuzi, SHAFII DAUDA.

Binafsi sio muumini sana wa Seasons wala movies za part One mpaka Three, by nature nina uvivu wa kusoma sana au kukaa kwenye mada moja kwa muda mrefu, kutokana na changamoto ya muda

By the way niliwapa aina mbili za Haji Manara, nikawaelezea na wenye kuelewa basi wameelewa, Haji ukishamtoa kwenye kivuli cha Simba na kumuanika yeye peke yake ni muoga na Mjanja Mjanja

Unaweza kudanganya watu ila watu huwezi kuwadanganya kwa wakati wote, moja kati ya vitu anavyoamini ni kuwa Simba ipo ilipo kwa nguvu yake, well and good kwakuwa ni Muajiriwa its fair kuamini hivyo

Ila Simba kufanikiwa kisa maneno yake ni kujidanganya, Simba ilikuwa na mafanikio kabla hata yeye kufika Simba, 1970 huko Simba anacheza Nusu Afrika, 1990 huko Simba anacheza fainali shirikisho, Haji alikuwepo? Ni hoja mfu

Kuendelea kuamini brand ya Simba inalindwa kwa kelele zake huo ni utoto, Simba ina miaka mingi imejitengenezea brand yake na Mashabiki pamoja na wao Viongozi collectively wanaipeleka, kila Mtu akifanya kwa nafasi yake

Brand hailindwi kwa dhihaka wala maneno, brand inalindwa kwa Matokeo uwanjani, vikombe na mipango kazi, mambo yakienda vizuri kila Kiongozi atakachosema basi kinakuwa Lulu, kwa mafanikio ya Simba hata Mwandishi fresh from school akikaa pale ataongea na ataeleweka

Kinachomsumbua Haji ni lifestyle aliyochagua, kama ulipata kazi kwa kelele zako utalazimika kuishikilia nafasi kwa kelele, kama ulipata nafasi kwa Merit basi utaishikilia nafasi yako kwa Merit, hiyo ndio kanuni ya maisha, Haji ni muhanga wa lifestyle yake
Ila kwa kadri Simba inavyopiga hatua itaendelea kubadilika, kuna Uswahili umeachwa na haupo tena Simba, kuliwahi kuwa na makomandoo sasa hawapo tena, kulikuwahi kuwa na wapiga dili na sasa hawapo tena, itafika muda hawatohitaji kelele za Manara, believe me muda utafika

Tunaposema anakosea anakimbilia huruma ya Mashabiki ila endeleeni kumkubusha msiache, Simba atakapofikia level za Al Ahly, Sundowns basi ni eidha yeye abadilike au system imbadili, nadhani ni kanuni ya Maisha.

Haji is a prisoner of his own history, nafikiri niifunge hii issue tunamfundisha wala hatuna chuki nae.
 
Mnayaibua haya leo baada ya kuhamia kwa wapinzani wenu!! Ok
 
Huu mwaka mtaandika mpaka Riwaya kumuhusu Manara

Kama Simba hakuna pengo lolote baada ya Manara kuondoka si mnakausha tu lakini kila siku mnakuja na Waraka kuhusu yeye
we nawe dishi limeyumba
 
Huu mwaka mtaandika mpaka Riwaya kumuhusu Manara

Kama Simba hakuna pengo lolote baada ya Manara kuondoka si mnakausha tu lakini kila siku mnakuja na Waraka kuhusu yeye
Hakuna kukausha inaitwa JINO KWA JINO bumper to bumper tutanyamaza siku akianza kuongelea kazi yake huko inapomuhusu lakini kama kila siku aanaeongea makorokocho na kusahau kupiga mswaki tutamkumbusha hata kwenda kusafisha minjino ile
 
Waambie familia wakupe tu hela yako ya rambi rambi kabisa ukale supu...huna maisha kabla huu msimu haujaisha [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Huu mwaka mtaandika mpaka Riwaya kumuhusu Manara

Kama Simba hakuna pengo lolote baada ya Manara kuondoka si mnakausha tu lakini kila siku mnakuja na Waraka kuhusu yeye

Kwavile Uto wengi ni Wapumbavu munashindwa kujua kuwa Makala hiyo aliiandika Dauda mwezi Mei na Nyinyi Yanga ndiyo muliyoisambaza na kuitumia kama Propaganda! Lakini leo munaikataa.
Kisa tu Manara kaja Yanga muliyoyatukuza munayakataa na muliyokataa munayatukuza
 
Kuimba kupokezana wewe kolo
Mkuki kwa nguruwe ila kwa binadamu mchungu na Wembe ule ule uliotumika kutunyolea na ndio unatumika tena kuwanyoa nyie wenyewe makolo
 
Back
Top Bottom