MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Wazee wa Kazi tumeshaingia Kazini kuifanyia Kazi Maalum Klabu yetu ya Simba SC hivyo tunatoa ONYO KALI kwa wale Wapuuzi wanaocheza Jumapili kuwa kama huna Shughuli usithubutu Kusogea Uwanjani na Maeneo ya Jirani kwani utakuja Kujuta kwa tutakachokifanya na Kukufanyia.l pia.
Tumemaliza.
Tumemaliza.