ONYO tayari Simba SC tumeshakabidhiwa Uwanja wa Mkapa kwa Kuulinda na Kazi Maalum hivyo Yanga SC mkae nao mbali

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Wazee wa Kazi tumeshaingia Kazini kuifanyia Kazi Maalum Klabu yetu ya Simba SC hivyo tunatoa ONYO KALI kwa wale Wapuuzi wanaocheza Jumapili kuwa kama huna Shughuli usithubutu Kusogea Uwanjani na Maeneo ya Jirani kwani utakuja Kujuta kwa tutakachokifanya na Kukufanyia.l pia.

Tumemaliza.
 
washirikina kwenye ubora wenu...washa motooo
 
Ngada FC, wazee au Ungaunga FC
 

 
Mkafukie mafuvu ya mababu zenu sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…