Ooh! Liverpool tunarudi tulikotoka

Ooh! Liverpool tunarudi tulikotoka

Peramiho yetu

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2018
Posts
5,303
Reaction score
14,983
Kiukwel mimi ni shabiki wa Liverpool kindakindaki kwa muda wa miaka 28 Sasa toka nianze kujua hisia za mpira nikimaanisha furaha na uchungu wake

Hii timu kwa Sasa inakoelekea inarudi shimoni ilikotoka miaka 3O iliyopita

Kitendo Cha kumuacha SADIO MANE huku mkataba wa MOH'D SALAH bado haueleweki na wakati huo huo kimuongezea BABU MILNER mkataba wa mwaka mmoja inaonesha Kuna shida katika hi timu

Ndio LIVERPOOL JURGEN NORBERT KLOP lakini anahitaji watu wa Kazi ambao ndio hao wanaondoka

Inaiona Liverpool ikirud kunipa presha muda si mrefu Hawa mabos wa hii timu n siyo kabisa wanajar pesa usajir hakuna

Hata suti niliyotaka kushona kwa ajil ya CHAMPION LEAGUE 2023 nimeghair kushona Kwanza
 
Kumuacha Mane, unamaanisha hawamuongezei mkataba au unamaanisha wamzuie asibebwe na Bayern?

Pesa iliyowekwa mezani si ya kitoto lakini, si watawatengeneza wakina Mane wengine mkuu? Kwani naye si kawikia hapo kama Salah tu!
 
Makuku yanasikitika na kwani hiyo miaka 30 haiongezeki tu makuku?
 
Kumuacha Mane, unamaanisha hawamuongezei mkataba au unamaanisha wamzuie asibebwe na Bayern?

Pesa iliyowekwa mezani si ya kitoto lakini, si watawatengeneza wakina Mane wengine mkuu? Kwani naye si kawikia hapo kama Salah tu!
mkuu bayern wametenga kiasi gani na mane mshahara watampa ngapi maana uongozi wa liverpool wanamdharau sana jamaa.
 
Kiukwel mm n shabik wa Liverpool kindakindaki kwa muda wa miaka 28 Sasa toka nianze kujua hisia za mpira nikimaanisha furaha na uchungu wake...
Kabla ya Liverpool kufika hapo alieitoa kule chini ni kocha sasa we tulia klop lazima aje na mbinu mpya, timu nzuri ikiwa na kocha mzuri lazima awe na mbinu za ushindi
 
Salah na Mane ndo watu pekee wanaoipambania hyo timu , japo kuna morale za akina Diaz , Ila sio wazoefu Sana , mabosi wa Liverpool ni mabahili , Mane anaonekana kabisa Hana furaha , anapiga Msuli tembo alaf mshahara sisimizi....

Klopp kajitahidi Sana , lakn asipopewa fungu zuri hataweza lolote.... Haya mambo yalimtokea akiwa Borussia Dortmund, akiwa na vifaa kama nur sahin, mario gotze na akina lewandosk, ghafla wakauzwa wote jamaa alihangaika mno , replacement alizoletewa ni miyeyusho tupu.....

Liver wasipokuwa makini ndo watakachoenda kukishuhudia ... timu itakuwa inapambania kucheza UEFA, Wachezaji wengi wazur wanataman kuchezea liver pool Kwa sasa kuliko hata Man United, watumie huo mwanya
 
Kiukwel timu yangu inasikitisha sana siioni kesho yenye nuru

Mane Ni star toka akiwa SOTON alipokija liver akakutana na mastar wengne ndio huyu tunamuona kawa mkal zaid

Liverpool kwa Sasa inataka kuwa feeder club inanunua wachezaji timu ndogo na kuwauzia timu kubwa hii n aibu Sana Tena Sana

Klopp amewatengenezea mipesa mingi Sana hao wamiliki FSG lakn wao wamekuwa wbahili Sana kumlipa MANE 300K kwao wanaona n ghali Sana

TUTAVUNA TULICHOPANDA
 
Back
Top Bottom