milionea wa kesho
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 328
- 631
Maneno hayo utasikia yakisemwa na kijana anayejiita mjasiriamali. Sio kujiita tu hata kwenye social networks zake anajiita entrepreneur.
Mtu anayeona tatizo kwenye jamii mfano scarcity ya maji na akalipatia ufumbuzi huku akipiga hela, huyo tunamuita mjasiriamali. Maana yake ameona tatizo akatafuta solution na kwenye solution yake ile akatengeneza hela.
Sasa wajasiriamali wetu hawa, wanajua kabisa hawana hela na tatizo kubwa zaidi kwenye jamii ni vijana kukosa mtaji, sasa kwanini wasiligeuze tatizo hilo liwe fursa wapige hela? Yaani kugeuza tatizo la ukosefu wa mtaji kuwa opportunity?
hahah nimejaribu kurudia kusoma nilichoandika hata sielewi. Ni stress tu za maisha.
Uzi tayar