Oooh Miaka 4 Ndani Ya Jf

Oooh Miaka 4 Ndani Ya Jf

Nkundwe Sr

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2014
Posts
6,289
Reaction score
9,748
Oooooh happy birthday To Mimi in Jamii forums nimekumbuka hapa najitoa out kidogo nimejifunza mengi mno nmefaidika sana Shukrani kwako mkuu Melo na Timu Yako Zima Natumaini nitaendelea kua Mwanachama Mwaminifu Sana
IMG-20180808-WA0046.jpg
 
Hongera Mkuu..!


Unamaoni gani kwa watu ambao hawaifahamu na kuitambua Jamii forums..?
 
Oooooh happy birthday To Mimi in Jamii forums nimekumbuka hapa najitoa out kidogo nimejifunza mengi mno nmefaidika sana Shukrani kwako mkuu Melo na Timu Yako Zima Natumaini nitaendelea kua Mwanachama Mwaminifu SanaView attachment 951834
Tumepishana kiduchu Sana me ilikua November 19
 
Hongera Mkuu..! Asante sana kwa ambao hawajapata fursa ya kuingia humu nawaona wanapitwa sana na Duniani yani nikiimuona mtu ana app ya jamii forum namuona bonge la mjanja sana


Unamaoni gani kwa watu ambao hawaifahamu na kuitambua Jamii forums..?
 
Back
Top Bottom