Nkundwe Sr
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 6,289
- 9,748
Siku ukifikisha miaka 4 ya hii I'd unitaarifu ninao wengi kwelikweli.Huyo sato si mchezo
Nina zaidi ya minne kwa ile ingine..unataka kuijua[emoji12]Siku ukifikisha miaka 4 ya hii I'd unitaarifu ninao wengi kwelikweli.
Hahahaha kufukua kaburi kikwetu ni haramu, hiyo sukuma ndani tugange na hii ya sasa.Nina zaidi ya minne kwa ile ingine..unataka kuijua[emoji12]
Tumepishana kiduchu Sana me ilikua November 19Oooooh happy birthday To Mimi in Jamii forums nimekumbuka hapa najitoa out kidogo nimejifunza mengi mno nmefaidika sana Shukrani kwako mkuu Melo na Timu Yako Zima Natumaini nitaendelea kua Mwanachama Mwaminifu SanaView attachment 951834
Ha ha umeshindaHahahaha kufukua kaburi kikwetu ni haramu, hiyo sukuma ndani tugange na hii ya sasa.
Hatari mkuu ukipata na kinywaji hapaHuyo sato si mchezo
πππSiku ukifikisha miaka 4 ya hii I'd unitaarifu ninao wengi kwelikweli.
Karibu Sana mzee Msalimie swaleheOkay ashaiona hiyo sato mkuu wory out kiongoz
Hongera Mkuu..! Asante sana kwa ambao hawajapata fursa ya kuingia humu nawaona wanapitwa sana na Duniani yani nikiimuona mtu ana app ya jamii forum namuona bonge la mjanja sana
Unamaoni gani kwa watu ambao hawaifahamu na kuitambua Jamii forums..?
Oooh kumbe pacha haaah hila we mzee kidogoTumepishana kiduchu Sana me ilikua November 19