Ooooops!! WANAWAKE??...aaaaah!

Pole sana mia mia.
Ila naona ushajenga mtazamo mbaya sasa juu ya wanawake (tittle ya thread inajieleza).
Inaelekea kipenzi chako alikuwa ni mtu wa kukaa na mambo rohoni hata kama yanamkera na ndio maana hata sababu ya kuachana hajakwambia.
Inawezekana pia unajua sababu ila hujataka kuiweka wazi.
Unapoachwa haimaanishi ndio mwisho wako wa kuwa katika mahusiano, haimaanisha aliyekuacha ni mbora kuliko wanawake wote waliobakia, haimaanishi ulikuwa katika mahusiano yasiyo sahihi bali inamaanisha kuwa una nafasi nyingine ya kucreate uhusiano mpya wenye nguvu zaidi ya uliopita.
Hutakiwi kuanzisha uhusiano mpya mapema, inawezekana ukaangukia kwenye midomo ya mamba.
Jipe muda wa kuwa mwenyewe kwanza.
Kujipa muda haimaanishi usiinteract na wasichana. Jichanganye nao ili uwafahamu zaidi.
Kuna vitu vidogo vidogo huwa tunapenda ila mnashindwa kuvitambua. Ukijimix nasi utatuelewa zaidi.
 
husininyo nimekuzingatia mzazi...u gud man.
b bleced mazee.
 
Du pole mjamaa ww fanya km umeteremshwa kwenye daladala, sahau na nauli panda ingine MUNGU atakusaidia utamsahau'
Vyuo vya hapa mjini Dom wengine wanakunywa sumu, akinusurika anaambiwa kwanza mwenzako ana ngoma umenusurika.
Jitahidi utasahau ndani ya siku tu ww bana hapa JF watakupoza.
 

A very good advice sina cha kuongeza hapo...
 
Pole kilicho chamsingi nikujishughulisha nakazi ulizokuwa huzipendi au hukuwa unazifikiria matharani kwenda gym,na kwa sasa husitafute mwanamke kwa lengo la kuziba pengo lililoachwa na mpenzi wako!!unaweza kuingia choo cha kike na kama kuna uwezekano tafuta shule au kozi yoyote yakukukeep busy hii itakufanya mawazo yake kichwani mwako yatoke haraka!!Ila najua inauma sana na kupa pole kwa yote wanawake sindugu zetu wao ni vifaa vya kutusaidia wakituchoka huwa hawajali nikiasi gani unampenda yeye anaenda kutumikia kwingine!!!
 
pole sana kaka hayo ndio mapenzi ya kibogo chamsingi ulianza mapenzi ukiwa unampenda kumbe yeye hakuwa na penzi la kweli kwako sasa wewe jipange na tafuta yule atakae kupenda kwa dhati swali UTAJUEJE KAMA HUYO MPYA ATAKUPENDA KWA DHATI? TUPA KARATA KAKA N A KUMBUKA HAYA NDIO MAISHA NA KAMA UNATAFUTA WAKUISHI NAE USITAZAME SURA.:A S 20:
 

Pole sana kaka, mambo kama haya hutokea tujifunze. Kimsingi mimi naona pia wewe ulikuwa na tatizo. Iweje ukae na mtu miaka mitatu na mmoja mnaishi wote bila kufunga ndoa? What if yangetokea matatizo makubwa kwa huyo dada ungewaambia nini wazazi wake? Kama ulimpenda kweli kwa nini hukumuoa? Pole once again
 

Title ya thread inaonesha kuwa unawalaumu wanawake wote, inawezekana wewe pia umechangia kuondoka kwake!
 
Tuliza kichwa chako ueleze kinachokusibu...
Ni kama unaongea mizaha mizaha vile

sasa we pakajimmy unataka aeleze vipi zaidi ya hap! keshasema wazi ameachwa na sababu ya kuachwa hakpewa.
kama huna ushauri mpe hata pole bwana!!
 
ndugu zangu,AKSANTEEEENI@NINYI NYOOOOOTE.
 

Hiyo hapo juu nimeipenda...
Kijana tulia.... muombe Mungu atakuletea mwenza mzuri kabisa........ Kwa muda mfupi dawa hii yaweza saidia... Nenda mahali utakapokutana na wadada warembo...walioumbika...na kujiweka sawa... Wewe waangalie tu harafu linganisha na huyo uliyekuwa naye... Lakini kuangalia sio lazima upende... Nia yako ni kufanya roho iwe na nafasi ya kuamini kuwa utampata mrembo zaidi...

 





Just for future use I`ll advise you to love no body and fear everybody and you`ll live better.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…