Ooops! New Habari Corp

Status
Not open for further replies.
Ni kweli hupati kitu kwenye hiyo link naona hawataki kutupatia taarifa mtandaoni.
 
Tanzania Kwakweli Tupo Nyuma Sana Kuhusu Matumizi Ya Mtandao,
Vyombpo Vingi Vya Habari Havipo Update
 
mie muda mrefu nimelikosa gazeti la uhuru jamani nielezeni kulikoni?

nimeona leo niseme maana mwananchi silipati na newhabaricop ndo hao kulikoni


lakini uhuru hasa ndio nilipendalo
 
mie muda mrefu nimelikosa gazeti la uhuru jamani nielezeni kulikoni?

nimeona leo niseme maana mwananchi silipati na newhabaricop ndo hao kulikoni


lakini uhuru hasa ndio nilipendalo
Sikujua kama RA anaweza kuelemewa na ka-website kama tunavyochemkaga hapa JF.

Haya madude yanasumbua, zinahitajika hela za mtelezo.

Mkuu Mtu wa Pwani, CCM naona walichemsha kwenye hii www.uhuru.info wakaamua kuiachilia mbali.

Kazi ipo!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…