Mkuu, kitendo tu cha ku-infii had ile pregnancy ikawa ndani, basi tena ujue virus atakuwemo tuMkulu kwenye details si naweza kukuta ni kirusi kikainfect my comp mazima!?
you can run, but you cant hideMkuu X-Paster...how about RUN?........
cousin... umejumlishaje hiyo hesabu yako ya asilimia?? au ni aslimia na kumi??? hahahaaaaaaaaaaaMpwa just click details kama alivyosema cousin Acid kama ni infii kwenye nyumba ya mwizi kaingia jambazi nafikiri uki search kwenye folders zitakuja options nyingi mimi naona ball possesion bado unaongoza 85% na upande wa infiii 25%
View attachment 14468
Wakulu ndo ujumbe nimeupata hapa hebu nishaurini nifanyeje in "COMPUTER TERMS" Only.
Nianze na viongozi wangu wakuu Asprin-ODM, St Roya Roy, King TEAMO, Mpwa FIDEL ACID, Kijana Finest, Bigirita na bila shaka upande wa kina binamu......hapa nifanyeje>
mawazo yangu nafikiria kubonyeza CTRL+ALT+DEL then TASK MANAGER kisha END TASK...
happy friday!:wink2:
AU nibonyeze 'abort' huenda ikasaidia....hiyo ya kuzima ukutani nadhani itabidi kurestart comp au?
cousin... umejumlishaje hiyo hesabu yako ya asilimia?? au ni aslimia na kumi??? hahahaaaaaaaaaaa