Umejaribu Ctrl + A then Ctrl + C ukamalizia na Ctrl + V hiyo itakusaidia uonekane ka wewe...ukimaliza hapo wewe mpe Alt + F4 then enter...ngoma juu......
kuna hii hapa kali mkuu...start, run mmc, nenda files utaona kitu inaitwa add/remove, nenda kwa users add new niu user na mpe password kabisa A enjoy life
kaizer you made my day! nacheka hapa mpaka nasikia kwenda kulala sasa maana mtaniua.
Tangu nijiunge JF sijawahi kucheka kama kwenye hii thread..
Karibu Caroline,,,,lol hope finally ulilala
hahaha Mayasa ulichelewa wapi uhondo una wiki 38 according to St RR...
hommie....'file back up is running'......
Sasa wewe naweee.............aaaugh..........umeshasema "nyumba ndogo",kinga ulimwachia nani?????????????Hivi hujui nyumba ndogo huwa zina nyumba kubwa zao?ambazo na zenyewe(hizo nyumba kubwa) huwa zina nyumba ndogo??????????????????mnataka muimbiwe kwa lugha gani jamani wanaume nyinyi?????????mtaendelea kuteketeza familia zenu mpaka lini??????????
"things come suitable to their time",lea mtoto,ndio nyie mnajaza watoto yatima barabarani.............x@$%^*?"
Salama mkuu?
Nadhan hesabu zimenishinda hommie....
Hivi ni 38 days au weeks....
Wacha nifanye lojistiks za kuja......
Ha Ha Ha Ha Cousin ila kuan plan B ya kutumia KARSPESKY kama ulivyosema nilikuwa nafikiria kumwambia kama vipi HAIFORMAT lakini nimeshtuka labda aende kwenye TOOLS halafu OPTIONS halafu sasa achague CLEAR YOUR RECENT HISTORY au REMOVE INDIVIDUAL COOKIES
Khaaa!Umeona eeh..afu kuna mtu huku naoana anauliza kwa nini tunawadharau mashoga.....
Afadhali AshaDii hajaiona hii sredi LOL