Ooops! "Nyumba ndogo yangu imepata mimba!" Ushauri

Do not DELETE... just save it... u never kno who is coming!

Na hata uki DELETE, wataalamu wanasema data katika komputa hazifutiki permanently hadi udestroy kwa kuzisaga komputa zenyewe! Hivyo unahitaji bastola!
 
Mkuu Kaizer (na wengineo)....
Mimi nimepanga vyumba viwili maeneo ya Tabata Bima...sasa kutokana na ufinyu wa nafasi imebidi nipange chumba kingine kidogo maeneo ya mabibo (sio hosteli!)....
Sasa ungizingatia jana ilikua very blue kwangu, nilipotoka kazini jioni na kujiunga na :car::car::car::car::car::car::car::car:....njiani nikapata ujumbe toka chumba kidogo kwamba nahitajika mabibo....bila hiyana nikaweka kituo mitaa ile.......
Kufika tu nikaambiwa kuna mechi ya :A S soccer: inahitajika....sikuvaa buti (tulishakubaliana kutovaa njumu ila hakuna kufunga magoli)....nilipiga shuti moja kuubwa sana... golikipa hakufanya jitahada yoyote kutoa mpira ule usiende golini (to the last drop)....na akanambia anahisi refa atakua amekubali lile goli ....
It is now tuesday and am seated here :A S confused::A S-confused1: ....what if refa akisema lile ni goli .....
Hivi kwenye hii ishu yako ulishauriwa ubonyeze wapi kwani....alt del au nn....
BTW: Niliandika hapa kwa pope sikutaka kina nanhii waone hii posti yangu...
 
ROFL!

Ngoja nitoke nje for a strong and hard laugh! LOL!
 
Sa mbona tumeiona..... Hebu nipe fesbuk address ya Mama G fasta...
Acha uzinzi.... Ndo Ukome!!!πŸ˜›reggers:πŸ˜›reggers:πŸ˜›reggers:😑
 
Kama mechi ilikuwa inarekodiwa off line basi itabidi uchukue mkanda ukae pamoja na refa muangalie kama lile lilikuwa ni goli halali kama sio goli halali lazima timu inyanganywe pointi, pia na wale linesmen walikuwa wafanya nini au walipewa kidogo dogo kama walivyotaka kumuhonga golikipa wa mtibwa.
 
:llama::llama:
 
safi sana kiongozi, unadumisha mila ile wengine ilishashindwa!!!!!!!
 
Sa mbona tumeiona..... Hebu nipe fesbuk address ya Mama G fasta...
Acha uzinzi.... Ndo Ukome!!!πŸ˜›reggers:πŸ˜›reggers:πŸ˜›reggers:😑

Wewe jana jukwaa lile la kule ulikuwa unatafuta nini?
 
hahaha...kwa sasa "ignore that message"...ila usibonyeze ile "remind me later" kwa sababu haina maslahi kwako....fanya "idle scan" kwenye background, at the same time jaribu kuinstall "software" mwafaka kwenye nyumba ya tabata bima ili itakapobidi hiyo " Software" ya mabibo na yenyewe iwe installed huko Tabata bila kuwa na "incompatibility issues" so angalia wapi pa ku'"upgrade".

Muhimu ni kwamba usibonyeze "Run" pia as that will make the software install "automatically" in your system...

Kumhonga frefa haitawezekana manake hakukuwa na offsiede na mpira ndo video zimeshaonesha umevuka mstari.....tupe jibu after 3 months...:tonguez:
 
Sa mbona tumeiona..... Hebu nipe fesbuk address ya Mama G fasta...
Acha uzinzi.... Ndo Ukome!!!πŸ˜›reggers:πŸ˜›reggers:πŸ˜›reggers:😑

Askofu mbona unamsingizie ST RR, wapi kaasema amefanya uzinzi?:A S 13::A S 13:
 
Sa mbona tumeiona..... Hebu nipe fesbuk address ya Mama G fasta...
Acha uzinzi.... Ndo Ukome!!!πŸ˜›reggers:πŸ˜›reggers:πŸ˜›reggers:😑

Thats name calling....You have been warned!
 
Subiri atakapomaliza ku-DOWNLOAD ndiyo utajua kama ile UPOLOADING uliyoifanya ilikuwa Completed, Kama ndiyo SCAN HIYO FILE na kusave, Kwa ajili yako tu.
 
Sa mbona tumeiona..... Hebu nipe fesbuk address ya Mama G fasta...
Acha uzinzi.... Ndo Ukome!!!πŸ˜›reggers:πŸ˜›reggers:πŸ˜›reggers:😑

Nem koling.....ofisho woning.....😑😑....
Ilikua mechi ya mpira wa miguu ndugu mtumishi....hatukatazwi kushiriki michezo...kumbuka mi ni st.roya....
 
Halafu eti kuna watu wana mashaka na uenyekiti wako! Some people bwana!
 
Kama ni halali au haramu ni kitu ingine.....nauliza kama refa akisema mpira kati nifanyeje??? ......:decision:
:llama::llama:

Ze king himself...not worried at all...
safi sana kiongozi, unadumisha mila ile wengine ilishashindwa!!!!!!!

Tatizo hapa nibonyeze batan gan kusevu madhara ya nyumba ya tabata???
Subiri atakapomaliza ku-DOWNLOAD ndiyo utajua kama ile UPOLOADING uliyoifanya ilikuwa Completed, Kama ndiyo SCAN HIYO FILE na kusave, Kwa ajili yako tu.

:clock::clock:
 
Thats name calling....You have been warned!

Nem koling.....ofisho woning.....😑😑....
Ilikua mechi ya mpira wa miguu ndugu mtumishi....

:car:..:A S-devil4:..:A S 8:..:A S kiss:..πŸ˜›reggers:..:typing:..:help:..:clock:..:bathbaby:...πŸ˜›anda:...:ballchain:....:A S 33:...πŸ˜›ray:πŸ˜›ray:
 
:car:..:A S-devil4:..:A S 8:..:A S kiss:..πŸ˜›reggers:..:typing:..:help:..:clock:..:bathbaby:...πŸ˜›anda:...:ballchain:....:A S 33:...πŸ˜›ray:πŸ˜›ray:
:hand::hand::hand::hand::hand::hand::hand::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13:
 
:car:..:A S-devil4:..:A S 8:..:A S kiss:..πŸ˜›reggers:..:typing:..:help:..:clock:..:bathbaby:...πŸ˜›anda:...:ballchain:....:A S 33:...πŸ˜›ray:πŸ˜›ray:

Haujambo Askofu ninataka kutoa zaka nimuone nani? au nimpe nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…