Ooops !!!

Alikuwa mkali sana wakati wa ujana wake!!
 
Wakati haubakishi UREMBO! She is getting OLD damn!!!
 
No matter what,sote tutakuwa hivi hata uwe mzuri kumzidi Cleopatra,kikubwa kwako mwanadamu ni kuwa na roho nzuri kwa wenzako bila kujali tabaka la mtu, uwezo wa pesa, kiwango cha elimu n.k




Picha kwa hisani ya mtani wangu-Yasinta Ngonyani.
 

kwa kweli huyu anapendeza kuliko cleopatra
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…