Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hii ni Kata ya Usevya , ambako Freeman Mbowe ameongoza Mashambulizi , watu wamehudhuria Mkutano huo wakiwa na Chai Mkononi na wengine wakishika viporo vyao vya wali , huku baadhi wakija na miswaki yao .
Picha hizi hapa
Picha hizi hapa