Oparesheni 255 yaingia Busega. Mbowe abadilisha lugha ya Katiba Mpya, aanza kuongea kikakamavu

Oparesheni 255 yaingia Busega. Mbowe abadilisha lugha ya Katiba Mpya, aanza kuongea kikakamavu

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hii ndio Taarifa mpya ya leo kutoka kanda ya ziwa ambako oparesheni 255 inatimua vumbi.

Muda wa lugha laini kwenye kudai Katiba mpya umekwisha, sasa lugha kali za kikakamavu zimeanza kutumika, huku Mbowe akitahadharisha watawala kwamba Katiba mpya ndio kipaumbele cha kwanza.

Hii ni kata ya Kiloleni.

Screenshot_2023-09-01-18-01-07-1.png
Screenshot_2023-09-01-18-05-36-1.png
Screenshot_2023-09-01-18-05-43-1.png
Screenshot_2023-09-01-18-05-48-1.png
Screenshot_2023-09-01-18-05-58-1.png
Screenshot_2023-08-31-21-56-01-1.png
 
2024 mtakutana na Mchengerwa uchaguzi wa Serikali za mitaa!
Huyo ni kijana mdogo sana kwenye siasa za Tanzania , amuulize Kinana kwenye ile ofisi ya matokeo ya Masaki

Halafu 2024 , huyo Mchengerwa aweza kuwa kahamishwa , angalia hiyo ni wizara ya ngapi kwake
 
Twende KAZI,

Maridhiano yalilenga kupoza harakati kudai HAKI na Katiba mpya.

Bila Tume huru ya Uchaguzi na KATIBA mpya, hapatafanyika uchaguzi wowote.
 
Back
Top Bottom