kwa mini nisikuite maku kwa ushenzi ulofanya hapa juu kututesa wenye simu?Sehemu ya tatu naipataje????
@@@@@@@@@@@@@@kwa mini nisikuite maku kwa ushenzi ulofanya hapa juu kututesa wenye simu?
Mbona lishajibiwa hilo mkuu,si kupata infomation,idadi ya adui na taarifa nyingine nyingiThe bold nna swali; ulisema kuna mama alijifanya anaumwa mimba imetoka akaachiwa, ukasema hilo tukio litakuja kuwasaidia baadae
liliwasaidia kwa namna gani?
Ameongelea kuwa huyu ndiye aliyetoa taarifa muhimu kwa askari wa Israel kuhusu kinachoendelea ndani ya ndege.Ndg hii ni simulizi ya kimapokeo,yaani inakwenda mbele na kurudi nyuma.Nadhani ishu ya mama huyo utakuja kutana nayo huko mbeleni.Endelea kufuatilia tu.
...don't ever quote your fu**king wordsSehemu ya tatu naipataje????
walizipata kwa yule mwanajeshiMbona lishajibiwa hilo mkuu,si kupata infomation,idadi ya adui na taarifa nyingine nyingi
Hasa mkuu unatuachaje njiani ungemalizia tu story
Yes hiyo movie inaitwa 6 days. Inatoka 4 August 2017.
Acha usengerema unatutesaSehemu ya tatu naipataje????
We shoga unawashwa